Kuna makundi ya damu yafuatayo A,B,AB na O Unapopimwa kundi la damu wanaweza kubainisha kama una Rh Factor au hauna, Rh-factor ni protein ambayo inakutwa katika baadhi ya Seli hai nyekundu za damu, na sio kila mtu anayo hii protein katika cell zake. Waliyonayo ndo wanaitwa Positive na wasiyonayo ni negative, so ukienda hospital utaambiwa ni either A+/A- or B+/B-, AB+/AB- au O+/O- MUHIMU: Ikitokea mama ni mjamzito na ana blood group yenye NEGATIVE, baba wa Mtoto akawa na POSITIVE, Mara nyingi inategemewa mtoto atakuwa na POSITIVE aliyoirithi kwa baba yake, so kinachotokea ni kwamba kwa ujauzito wa kwanza tatizo linaweza lisionekane kwasababu damu ya mama na mtoto havichanganyikani, Lakini wakati wa kujifungua damu inaweza kumix hivyo mwili wa mama utatambua hiyo RH-PROTEIN ambayo ipo kwa mtoto hivyo mwili wake huanza kuzalisha kinga mwili ikijua kwamba hicho ni kitu kigeni kinachotakiwa kushambuliwa So, kwa mimba ya pili sasa mama mwili wake unakuwa tayari umetengeneza kinga ...