Masikio kupiga kelele
Jinsi ya Kutokomeza Masikio Kupiga Kelele
Zipo sababu nyingi ambazo zinapelekea Masikio kupiga kelele, Lakini moja kati ya sababu hizo ni Presha ya kupanda ambapo inasababisha Central nervous system utopata Kiwango cha kutosha cha damu ili iweze kufanya kazi yake vizuri. Hali ambayo inapelekea kupatikana madhara ya masikio kupiga kelele.
Na wapo ambao makelele hayo hutokea Sikio la kushoto tu. Na wapo ambao hutokea makelele hayo sikio la kulia tu. Wapo Ambao hutokea masikio yote.
Na Makelele hayo hutofautiana kati ya mtu mmoja na Mwingine. Wapo ambao.
ππ½Husikia Makelele kwenye Masikio
ππ½ Husikia Mvumo
ππ½ Husikia Kuunguruma
ππ½ Husikia kama kitu kinagonga ndani ya sikio
ππ½ Husikia kuzomewa kwenye masikio
ππ½ Husikia Mlio wa Filimbi kwenye Masikio
Ili kuondokana na changamoto yako unatakiwa kuzingatia yafuatayo
1. Acha kabisa kutumia vyakula ambavyo Mgonjwa wa Presha hatakiwi kutumia kuanzia sasa ivi.
2. Chukua Tangawizi ukubwa wa kidole gumba chako kisha isage kwa kutumia kifaa ambacho ni rahisi kwako.
Kisha weka kwenye kikombe au chombo chochote.
Baada ya hapo chukua magome matatu ya Mdalasini weka kwenye kikombe ulichoweka Tangawizi.
Kisha chemsha maji yako, Yakichemka vizuri, Mimina kwenye kikombe ulichoweka Tangawizi na Mdalasini na subiri kwa dakika 15
Baada ya hapo unaweza kunywa kinywaji chako
Maoni
Chapisha Maoni