Bamia kutibu presha

*Jinsi ya kutumia Bamia kupambana na ugonjwa wa Presha*

Fomula inasadia sana kuondokana na kizunguzungu na maumivu ya kichwa Kwa mgonjwa wa presha

Anda Bamia zako 5 unaweza kuzikatakata, Zishafishe vizuri kisha ziloweke kwenye maji ya lita 1 na nusu kwa muda wa masaa 12

Kisha Kunywa maji ya hizo Bamia ulizoloweka kutwa mara tatu.

Tumia hii Fomula Utakuja kunishukuru baadae


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.