Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.
*Namna ya kutibu vidonda vya tumbo na acid KWA kutumia mmea huu*
Na Dr jimmy 0620165254.
Leo nakuletea dawa ya vidonda vya tumbo KWA kutumia mmea huu uitwao mziwa ziwa.
Kama BADO wasumbuka na vidonda vya tumbo,
Unapata gesi kali,kiungulia,tumbo kujaa muda wote,n.k Basi tumia mmea huu ifuatavyo.
*Ng'oa huo mmea pamoja na mizizi yake uoshe vizuri, kisha upondeponde baada ya hapo weka kwenye maji na uchemshe mpaka ibadilike rangi iwe kama chai kisha, iache ipoe na utakunywa kikombe kimoja asubuhi,mchana na jioni, KWA siku 5 tu*
Pia ni vizur kila siku utengeneze dawa mpya sio kurudia majani yale yale
Pia dawa hii inaweza tibu magonjwa haya 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
UTI
Fangasi n.k
Kujifungua haraka hutanua njia, hivyo mjamzito asitumie.
Kuleta ute zile siku za kupevuka kwa yai, kwa wale wasiopata ute.
Kuongeza joto ukeni na Kuleta hamu ya tendo la ndoa hasa kwa wale waliotumia dawa za uzazi wa mpango
Huongeza maziwa kwa wanaonyonyesha.
Kubana uke na kufanya uke uwe mnato hasa kwa waliotoka kujifungua.
Utomvu wake ni dawa ya macho pia ukiwa na bawasili yapondeponde na maji yake weka kwenye hiyo bawasili kila siku mara mbili, asubuhi na jioni!
Kama hupati mtoto, tumia hii itakusaidia pia
Inatibu pia chango (maumivu ya tumbo wakati wa hedhi)
Namna ya kutumia ni kama nilivyoelkeza hapo juu unapokuwa unatibu vidonda vya tumbo.
KWA msaada zaidi Tiba na Ushauri piga/wasap 0620165254.
Kama tupo pamoja tujulishe hapo chini.
Health consultation
Tunajali afya YAKO.
Maoni
Chapisha Maoni