Fanya hivi nguvu zako za kiume.

*SIRI YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NI KUKAZA MSURI WA MSULI WA PELVIC*
Na Dr jimmy 0620165254

 (Hii ni siri ambayo kama huijui, itakufanya ununue dawa nyingi za kujiboost bila kufanikiwa)

Ngoja nikufungue

PC MUSCLE Ni msuli unaopatikana kuanzia eneo la haja kubwa mpaka kwenye kinena (kwa wanawake) na   mpaka kwenye uume (kwa wanaume)

Msuri huu unasaidia kushikilia uume unapokuwa umesimama, kuzuia makalio kubana vyema na kuzuia haja kubwa kama umebanwa sana, husaidia kubana na kuachia mkojo, husaidia mwanamke kubana vyema uume wa mwanamke wakati wa tendo la ndoa (kwa wanawake wabunifu hapa huwaridhisha wanaume zao), msuli huu hubana na kuruhusu manii wakati wa tendo la ndoa n.k

Ukisikia mwanaume ana tatizo la kuwahi kileleni basi huu msuri huwa umelegea kiasi mwanaume kushindwa kuyazuia manii yanapotoka.

Mambo gani huathiri msuri wa pelvic!
•vidonda vya tumbo,acid na bawasiri 
•Mapenzi kinyume na maumbile
•Ukuaji wa tezi Dume
•Magonjwa ya presha na kisukari
•Kutokufanya mazoezi (nitafundisha hapo chini)
•Uzito kuwa mkubwa
•Kwa wanaume, hii huchagizwa zaidi na kujichua yaani upigaji punyeto na hapa ndipo wengi tumeharibu sana ujanani
. Ngiri,busha n.k

Kulegea kwa msuri huu imetufanya wanaume wengi kufeli kitandani yaani akiingia tu mapajani au kuingiza kichwa na kusisimka basi huachia wazungu nje (hakuna break) na utamtambua mwanaume wa aina hii kwani huchukua muda sana kusisimka tena au anaweza kupiga moja tu kisha akalala mpaka kesho yake au baada ya siku kadhaa....

Lengo sio kuwabeza ila kuwasaidia jambo la kuzingatia ili kuweka Afya sawa na ndoa iweze kupata faraja.

Tunafanyaje kuimarisha msuri huu....!

Kwanza kabisa ni kuepuka visababishi vyake kama nilivyoorodhesha hapo awali kisha jipe zoezi la KEGEL mara kwa mara

Kila siku asubuhi na kila siku jioni jilaze chali kisha kunja miguu kuelekea juu, nyoosha mikono kuelekea visigino kisha taratibu binua kiuno kuelekea juu, kwa sekunde 15 shuka chini kisha taratibu rudi juu tena nenda mara 15 kisha pumzika. Unaweza kwenda kwa raundi 3.

KAMA UNAHISI SHIDA YA NGUVU ZA KIUME ISHAKUWA SUGU Nimekumegea tips hizi, ziweke akilini na zifuate kisha utakuja kunipa mrejesho.

ANDAA:
Asali mbichi ya nyuki wadogo lita 1. tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], unga wa msamitu vijiko nane, unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.

NAMNA YA KUANDAA:
~Chukua  tangawizi zako na vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.
~Weka unga wa msamitu, mdalasini na unga wa habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari
~Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi

Matumizi yake, utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala kwa siku 25-30 tu.

Kula sana mboga za majani, kula ugali usiokobolewa, licorice, beet roots, ndizi mbivu, muhogo wa kuchemsha, pilipili, karanga, tangawizi, kula mbegu za maboga, asali, na vyakula vya asili kwa wingi... Kumbuka unachokula ndicho kinaupa mwili nguvu hivyo jipe mtindo bora wa ulaji na unywaji.

Utakuja kunipa mrejesho ila jambo muhimu sana mfundishe na mwingine maana wengi ndoa zetu hakika zinakosa furaha ya usiku (wanawake hatuwaridhishi)
-------------------


Health consultation
Tunajali afya yako


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume