Ongeza nguvu za kiume
Jifunze na Ufanyie kazi, Dondoo hizi kwa kila kijana au mwanaume anayehisi kupungua nguvu za kiume kwa namna moja au nyingine
Usiruhusu hofu ikutawale, hata kama kweli kwa sasa una tatizo la kupungua nguvu za kiume nakushauri usiruhufu hofu isikutawale maana hofu inafelisha na inakunyima uwezo wa kujiamini.... Amini wewe bado ni rijali na huwezi kushindwa na chochote
Nakushirikisha haya kwa sababu nami nimewahi kuwa na tatizo la nguvu za kiume, aibu na stress za kushindwa kumridhisha mwanamke kwa sababu ya uwezo duni kitandani vimenipata na hii ni kwa sababu nilipiga sana punyeto kwa muda mrefu almost miaka 6 tangu sekondari mpk kidato cha sita.... Punyeto sio dili kabisa, kama bado unaendekeza mm sikushauri kabisa maana madhara yake ni makubwa kadri unavyokua na mbaya zaidi yanakuja kipindi ambacho tayari upo katika maisha ya ndoa au maisha ya mahusiano
......Na kutibu matatizo ya nguvu za kiume kuusema ukweli kama hujatuliza akili utaibiwa sana kuhangaika na madawa na ukiwa mzembe wa fikra unaweza kuharibu moja kwa moja uume wako iwapo utaanza kujibusti kwa madawa yanayosambaa mtandaoni kama kasongo, puturuu, mara vumbi la congo n.k yaani hata hiyo nguvu ndogo uliyonayo itapoteall,,, itafika muda bila kupaka mkongo uume hausimami
.........Punyeto inaathiri saikolojia na kutengeneza mazoea ya uume kupiga goli moja la fasta na kusinyaa..... katika kujitibu inahitaji sana uwe mtu wa kujiamini na kutengeneza mentality ya lazima niendelee na gemu haijalishi nina upungufu wa nguvi za kiume kiasi gani...
Punyeto inadhoofisha misuri hivyo kuimarisha misuri inahitaji kupewa nguvu kutoka kwenye mazoezi na virutubisho na sio kusisimua misuri kwa kupaka madawa ya kubusti kwa muda...
Nimefanya vitu vingi mpaka nakuwa imara, baadhi nimekushirikisha huko nyuma ila leo nakusogezea baadhi ya mavituzi unayoweza kuwa unayatumia mara kwa mara kadri ya uwezo wako ili kujiweka imara zaidi....
* Kunywa maziwa huku unatafuna karanga mbichi/kavu kunasaidia kuongeza shahawa nyingi kwenye tezi yako.
* Kunywa supu ya samaki asubuhi na maziwa fresh au mgando husaidia jogoo (muhogo) kuongezeka umbo lake yaani unene na urefu
* Kula bamia mbichi iliyochovya kwenye Asali mbichi huongeza upumuaji mzuri wa bila kuchoka. Kama unakosa pumzi wakati wa kungonoka na mwenzi wako
* Kumeza kitunguu swaumu na glass ya maji moto kusaidia kuongeza pumzi na mashindo wakati wa kungonoka.
* Kunywa supu ya ng'ombe iliyochanganywa na mbegu za maboga zinaongeza zinc ambayo huimarisha nguvu za kiume.
* Ukinywa kahawa iliyochanganywa na limao + Asali vijiko 4 hadi 6huchangia kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu bila kuchoka
* Ukijipaka mafuta ya mzeituni kwenye viganja vya mkono kisha kupasha viganja vyako kwenye moto na kuanza kuuchua ume wako husaidia kuuvuta na kuunyoosha kama umepinda na kusinyaa kama ulipiga sana punyeto na imekuathiri.
Chukua ambayo utaweza kuimudu, utaratibu wa aina hii ndani ya mwezi ni lazima uone matokeo.
KAMA UNAHISI TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME LIMEKUWA SUGU NA UNAPENDA KUANDAA DAWA KABISA, BASI JIANDALIE HII DAWA ASILIA KABISA
| Mahitaji |
* Asali mbichi ya nyuki wadogo lita 1
* Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande],
* Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake],
* Unga wa msamitu vijiko nane,
* Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane,
* Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.
Jinsi Ya Kuandaa:
* Chukua tangawizi zako na vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.
* Weka unga wa msamitu, mdalasini na unga wa habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari.
* Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6 kisha utaweza kuanza kuitumia.
MATUMIZI YAKE:
Utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala
kama una tatizo la uzito mkubwa au unapenda kukata kitambi, hiyo juisi yako ya nguvu za kiume utaitumia kwa kuchukua vijiko vitatu na kuwekakwenye glass ya maji kisha kukamulia kipande cha limau na kunywa.
Nikukumbushe kwamba hii tiba yako ni kwa ajili ya changamoto zako zote za kukosa nguvu za kiume
Kuanzia kwenye kuongeza wingi na ubora wa manii, kuondoa athari zilizookana na upigaji punyeto na kuongeza kiwango cha msisimko wa tendo la ndoa.
Kuna wale ambao tumejichua sana kiasi cha kupelekea uume kunywea, kusinyaa na kurudi ndani kuwa kama wa mtoto. Unaweza kutumia mafuta ya zeituni, kila asubuhi ukawa unaunyoosha na kuuvuta uume wako kwa kutumia mafuta hayo, yatakusaidia kuinyanyua misuri ya uume iliyodhoofu kwa sababu ya kupiga punyeto, chango au ngiri kama uliwahi kuwa nayo.
PIA NIMEKUANDALIA DAWA ASILI NA MAFUTA YA KUTIBU KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME
Ni Dozi ya Kunywa, unatumia vijiko vitatu asubuhi na vijiko vitatu usiku kwa siku 25 tu unapona kabisa
Dozi unaipata kwa Tsh 250,000 tu [hakuna gharama ya usafirishaji, ni bure / free delivery popote ulipo]
• Mafuta ya Kunyoosha Uume unapata Bure.
KUAGIZA DAWA, NIPIGIE Simu / au tuma ujumbe WhatsApp namba yangu ni 0620165254
Maoni
Chapisha Maoni