Bawasiri hufubaza na kuchosha mwili.
BAWASIRI AU MGORO HUFUBAZA NA KUUCHOSHA MWILI
Bawasiri ni nyama zinazotokea eneo la haja kubwa, nyama hizi hutokana na kuvimba kwa mishipa midogo ya damu. Nyama hizi zaweza kuwa ndogo mithiri ya punje ya harage au zikawa kubwa zaidi.
Bawasiri husababishwa na; Kuharisha/kuhara kwa muda mrefu, Kutokufanya mazoezi mara kwa mara, Visababishi vya lishe (chakula kilicho na kiwango cha chini cha faiba), Kutokuwepo kwa vali katika vena ya hemoroidi, Vinasaba, Umri mkubwa, Kukaa kwa muda mrefu, Kikohozi cha muda mrefu, Unene/uzito wa mwili uliozidi, Ujauzito kwa wanawake.
Bawasiri imegawanyika katika aina mbili tofauti;
1. BAWASIRI YA NJE: Hii ni aina ya bawasiri ambayo hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu pamoja na muwasho katika sehemu husika. Aina hii ya bawasiri huwa na tabia ya mishipa ya damu katika eneo hilo kupasuka na kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoids.
2. BAWASIRI YA NDANI: Hii ni bawasiri ambayo hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huwa haiambatani na maumivu makali. Kutokuwepo kwa maumivu huwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili. Lakini pia aina hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo;
• Bawasiri kutotoka katika mahali pake( yaani inakuwa imesimama)
•.Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia.
• Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na huwa hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe.
• Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia.
Viashiria vinavyoweza kuonyesha uwepo wa Bawasiri ni; Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa, Damu kutoka wakati wa kujisaidia, Kupata muwasho sehem ya haja kubwa, Uvimbe au Kinyama kuota sehem ya haja kubwa, Haja kubwa kujitokea yenyewe muda wowote, Choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu/nne. Maumivu makali ya kiuno na mgongo, Tumbo kujaa gesi mara kwa mara, Kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula, Kukosa usingizi pamoja na dalili zingine nyingi.
BAWASIRI ISIPOTIBIWA HUWA NA ATHARI ZIFUATAZO; Haja kubwa (kinyesi) kutoka bila kujitambua, Kukosa monkari/ha-mu ya kufanya tendo la ndoa, Kupungukiwa nguvu za kiu-me kwa wanaum, Kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu, Kupata tatizo la kisaikolojai, Mwili kudhoofika na kupauka (nuru ya uso hupotea), Uchovu wa mara kwa mara.
Pilecare ni dawa ya mimea asilia, hutibu mgoro (bawasiri) kwa uharaka zaidi bila upasuaji. Dawa hii haina madhara hasi (-ve) kwa mtumiaji.
Je unasumbuliwa na bawasiri????
Kama ndiyo tuwasliane 0620165254.
Health consultation
Maoni
Chapisha Maoni