Homon kuvurugika

MVURUGIKO WA HOMONI 
Na Dr jimmy 0620165254.

Mvurugiko wa homoni za mwanamke nikitendo cha kupungua au kuongezeka kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo hupelekea mwili kubadilika.mvurugiko huo huathiri Kila mwanamke kwa asilimia 80%.asilimia kubwa mabadiliko huanzia kati ya miaka 40 na 50,lakini pia kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi kuanzia miaka 14.mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe, hedhi, ujauzito kabla  na baada ya kukoma kwa hedhi.mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huchangiwa na kutokuwepo na homoni za estrogen,progestone , Testosterone.kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke

SABABU ZA MVURUGIKO WA HOMONI
Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalo wakumba wanawake wengi kwa sasa,hii Ni kutokana na hali ya maisha wanayo ishi,na elimu finyu waliyo nayo juu ya afya zao na kutokula kuringana na makundi ya damu.
Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni:
-matumizi ya njia za kisasa  uzazi wa mpango 
-utoaji wa mimba
-uwepo wa sumu mwilini
-mfumo mbovu wa maisha
-kukoma kwa hedhi
-umri mkubwa
-msongo wa mawazo
-upungufu wa lishe mwilini
-historia ya familia(upungufu au ongezeko la homoni ya estrogen na progestone
- ongezeko la homoni ya androgen (wanawake kuota ndevu,sauti Kama wanaume)

*Dalili za mwanamke mwenye tatizo la mvurugano wa homoni(Hormonal Imbalance)*

🥦 Kisikia maimivu wakati wa tendo la ndoa. 
🥦 Kuwa na uke mkavu.
🥦 Kutokwa jasho usiku lisilokuwa la kawaida.
🥦 Kupatwa maumivu makali kabla, wakati na baada ya period. 
🥦 Kukosa hamu ya tendo la ndoa. 
🥦 Hedhi kubadilika badilika.
🥦 Kutokwa na damu ya hedhi kwa muda mrefu zaidi ya siku saba.
🥦 Kutokwa  na damu yenye mabonge mabonge wakati wa period. 
🥦 Uchovu wa mara kwa mara. 
🥦 Hasira za mara kwa mara. 
🥦 Kukosa usingizi.
🥦 Kuwa na homa za usiku na kizunguzungu mara kwa mara. 
🥦 Kuwa na ubaguzi wa vyakula.
🥦 Kuongezeka kwa tumbo(kitambi) na manyama uzembe.
🥦 Kuharibika kwa ngozi (kuwa na chunusi na vipele).
🥦 Kuwa na ndevu.
🥦 Kusahau sana.
🥦 Maumivu ya viungo.
🥦 Kupata hedhi wakati wa ujauzito.
🥦 Upungufu wa nywele kichwani au nywele kukatika katika ovyo.
🥦 Msongo wa mawazo. 
🥦 Kutopata choo kwa wakati.
🥦 Maumivu ya kichwa mara kwa mara. 

*Madhara yatokanayo na dalili hizi ni pamoja na;-*

🥦 Kutoshika kwa ujauzito kwa muda mrefu. 
🥦 Mimba kuharibika mara kwa mara.

Hujachelewa mpaka Sasa suluhisho lipo dawa iliyotengnezwa kiasili ya chai dada imekuwa msaada na mkombozi wa tatizo hilo kama unapitia changamoto hizi Basi wasliana Nasi KWA msaada zaidi.

Wengi wanazisikia homon na hawazifahamu Basi Kaa Nasi ntazielkeza hizo homon zote na baadhi ya KAZI zake

Health consultation
Tunajali afya yako


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.