Kulewa na marafiki ni furaha.
MADHARA YA KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NA NJIA MBADALA ZA KUTATUA TATIZO HILO.
Na Dr jimmy 0754821457
Katika karne hii ya 21 matumizi ya vidonge vya kuongeza nguvu za kiume yameongezeka kwa kasi kubwa si kwa vijana tu Bali hata kwa wazee.
Kutokana na hili wengi hutumia vidonge kwa ajili ya kuridhisha wapenzi wao,Baadhi ya dawa hizo ni SILIDENEFIL huleta athari ambazo siyo nzuri kiafya.
JINSI ZINAVOFANYA KAZI.
Dawa hizi husababishwa midship ya damu kutanuka na kupelekea damu kupita kirahisi na pia kuongeza mzunguko wa damu kwenda katika sehemu za siri za mwanaume kupelekea uume kusimama kwa mda mrefu zaidi.
MADHARA YA DAWA HIZI NI.
๐mapigo ya moyo kwenda kasi.
๐maumivu ya kifua na mgongo.
๐maumivu katika sehemu za siri pale uume unaposimama mda mrefu.
๐kusikia kizunguzungu na maumivu ya kichwa.
๐kutoona vizuri au kupoteza uwezo wa kuona.
NJIA MBADALA ZA KUPAMBANA NA TATIZO HILI.
๐๐ฝ punguza mawazo na kuwa katika hali ya utulivu wakati wa kushiriki na mwenza wako.
๐๐ฝfanya mazoezi pamoja na kupunguza uzito ili kupunguza mafuta mwilini ambayo mda mwingi huzuia damu kusambaa vizuri.
๐๐ฝTafuna vitunguu swaumu pamoja na tangawizi au kunywa maji yake asbuh,mchana na jioni kwa wiki 2 mfululizo.
๐๐ฝkunywa maji ya kutosha.
๐๐ฝTumia matunda kama tango,tikiti,ndizi,parachichi,Karoti na karanga.
๐๐ฝepuka pombe kupita kiasi.
๐๐ฝTibu magonjwa yakusumbuwayo yanayopelekea tatizo hili kama BAWASIRI,KISUKARI,VIDONDA VYA TUMBO,MATATIZO YA MOYO,UZITO MKUBWA,ACHA PUNYETO,NA UDHAIFU WA MFUMO WA CHAKULA.n.k
N.B Nguvu za kiume ni suala mtambuka sana kwa hiyo dawa pekee ni kujijali diet na matunda elekezi utapona kabisa na utakuwa sawa na utasave ela yako,Na kama utakuwa NA manii chache zisizo na uwezo wa kutunga mimba tumia matunda niliyoelekeza na mafuta ya samaki,mhogo mibichi,karanga mbichi na mbegu za maboga.
Kama umenielewa shusha emoji MOJA nzito
Health consultation
Maoni
Chapisha Maoni