Namna ya kujikinga na vidonda vya tumbo.
*FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO, DALILI, VISABABISHI NA NAMNA YA KUJIKINGA*
Na Dr jimmy 0620165254.
*VIDONDA VYA TUMBO*
ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus.
Kemikali ambayo ni acid inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, kama ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi, basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.
Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi. Linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba ( *amiba), homa, kupungua uzito.*
*AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO*
```Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)```
1️⃣. *VIDONDA VYA TUMBO KUBWA (GASTRIC ULCERS)*
Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
*Gastric ulcers*
2️⃣. *Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers)*
Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)
*HATUA KUU ZA VIDONDA VYA TUMBO*
Kuna hatua nne yenye matukio na dalili mbalimbali kwenye huu ugonjwa, mengine yaweza kuonekana au mgonjwa asiweze kuhisi chochote kupitia hatua hizi utaweza kujua vidonda vyako vimefikia hatua Gani. Hatua hizo ni;-
1️⃣ *HATUA YA KWANZA*
Ni ule uvimbe sugu unaotokea sehem ya ndan ya tumbo.
2️⃣ *HATUA YA PILI*
Hapa vijidonda hujitokeza sehemu zenye uvimbe na taratibu vidonda hivyo huongezeka na kua vikubwa, katika hatua hii mgonjwa hupatwa na maumivu makali ya tumbo yanayodumu kwa muda mrefu yakiambatana na kiungulia, tumbo kujaa gesi wakati wote, kukosa hamu ya kula, choo kuwa kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu, hata hvyo Hali hii ya kukosa choo kwa muda mrefu ( *CHRONIC DYSPEPSIA* ) yani kushindwa kufanya Kazi kwa mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula kutokana na tindikali nyingi inayozalishwa tumboni na kuingia Kwenye mzunguko wa damu hivyo mgonjwa hujisikia uchovu na kizunguzungu cha Mara kwa Mara katika hatua hii tindikali husababisha magonjwa ya ini na Figo kwa kuwa tayari iko katika mfumo mzima wa damu
3️⃣ *HATUA YA TATU*
Ni hatua ambayo ni ya hatari kwasababu vidonda vikubwa hupasua mishipa yote midogomidogo ya damu na kusababisha damu kuvia tumboni na kubadilisha rangi ya choo kuwa cyo ya kawaida, pia damu nyingi ikivujia tumboni mgonjwa hutapika na kuharisha damu Hali hii husababisha mgonjwa kuishiwa damu Mara kwa Mara, maumivu makali ya tumbo,hupata Homa, maumivu ya viungo na kukosa hamu ya kula.
4️⃣ *HATUA YA NNE*
Katika hatua hii saratani ya utumbo inahusika kwani katika hatua hii vidonda vya tumbo hutengeneza tundu katika tumbo au utumbo mdogo na kusababisha kuoza kwa viungo vya ndani na matokeo yake ni saratani ya utumbo.
*DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO*
1️⃣Kuchoka choka sana bila sababu maalum.
2️⃣Kuumwa mgongo au kiuno.
3️⃣Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia.
4️⃣Kizunguzungu
5️⃣Kukosa usingizi
6️⃣Maumivu makali sehemu ya mwili
7️⃣Maumivu ya Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.
8️⃣Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali
9️⃣Kichefuchefu
Kiungulia
🔟Tumbo kujaa gesi
1️⃣1️⃣Tumbo kuwaka moto
1️⃣2️⃣Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
1️⃣3️⃣Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
1️⃣4️⃣Kutapika nyongo
1️⃣5️⃣Kutapika damu au kuharisha
1️⃣6️⃣Sehemu za mwili kupata ganzi
1️⃣7️⃣Kukosa hamu ya kula
1️⃣8️⃣Kula kupita kiasi
1️⃣9️⃣Kusahahu sahau
2️⃣0️⃣Hasira bila sababu.
*CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO*
Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;
🩸Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
🩸Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
🩸Kuwa na mawazo mengi
🩸Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
🩸Kunywa pombe na vinywaji vikali
🩸Uvutaji wa sigara
🩸Kuto kula mlo kwa mpangilio
*MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO*
💉Kuvuja damu ndani ya mwili (Internal bleeding and serious blood loss)
💉Upungufu wa damu (Anemia) kutoka na damu inayo vuja tumboni
💉Kutapika damu
💉Kupata kinyesi cheusi kama cha mbuzi inaweza kuchanganikana na damu au makamasi kamasi
💉Kuvurugika kwa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula (Obstructed digestion) na wakati flani upelekea ukienda haja kubwa ukila chakula ukienda chooni kinatokea bila kumeng'enywa au ukibeuwa unatoa chakula bila kumeng'enywa
💉Shida katika kupumua, hii inatokea baada ya baadhi ya mshipa kuathirika na wadudu hawa na kushindwa kusafisha damu vizur na kupelekea moyo kushindwa kupata hewa ya OXYGEN Vizur
💉Saratani ya tumbo (Stomach cancer)
💉Msongo wa mawazo (stress)
💉Kupungua kwa nguvu za kiume/ Nguvu za kike kwa sababu ya kushusha Kinga ya mwili na vichochezi mwili kutokuwa sawa HOMON INBALANCE na kupoteza hisia kabisa
💉 Kufanyiwa upasuaji, hii ni baada ya Vidonda vilivyo tumboni kuoza Sana na kusababisha saratni ya tumbo itakupeleakea kukatwa nyama sehemu hiyo iliyo oza Sana
💉Kupoteza maisha kabisa, Huu ugonjwa sio wa kupuuzia hata kidgo kumbuka tumbo ndio injini ya mwili ikiathirika inaweza kuzima.kabisa utendaji Kazi wa mwili
*MATIBABU*
Dr jimmy nimekuandalia dawa maalum ya kutibu vidonda vya tumbo bila kutumia dawa za hospitalini tumia stomach ulcers kiboko ya vidonda vya tumbo dawa hii inagharimu 165,000 tupo mwanza mikoani tunaagiza KWA basi au ndege.
Health consultation
Maoni
Chapisha Maoni