Tiba ya bawasiri
♐KWA NINI UTESEKE NA UGONJWA HATARI WA BAWASIRI ? - ( Hemoroid )♐
Na Dr jimmy 0620165254.
.
▶ Nii nini ?π³
▶ Ni pale mishipa ya veins (nyama) zinapojitokeza eneo la haja kubwa (Anus)
Hali hii humfanya mtu ajisikie hali ya kukera sana na wakati mwingine maumivu makali.
▶ Hali ya kukera hutokea kipindi Mgonjwa anapojaribu Kwenda chooni kupata haja kubwa ila kwa wengine hali hii huwafanya wapate maumivu kila wakati na kujisikia vibaya sana na kushindwa kufanya mambo mengine.
▶ Mara nyingi bawasiri huendana na kupata Choo Chenye damu.
▶ Kawaida eneo la haja kubwa lina mishipa ya damu mingi aina ya VEINS na mishipa hii IPO juu juu sana. Sasa presha inapoongezeka eneo hili mishipa hiyo hupasuka na hujitokeza kwa nje hivyo huonekana kama nyama zimejitokeza.
▶ Ingawa wakati mwigine BAWASIRI hujitokeza ndani kabisa ya njia ya haja kubwa hivyo hufanya bawasiri iwe ya ndani bila nyama kutokea nje ya haja kubwa MTU atajisikia hali ya kukera bila nyama kutoka nje kwa hiyo hii inaitwa BAWASIRI ya ndani.
▶ SABABU ZA BAWASIRI KUTOKEAπ³
1⃣KUPATA CHOO KIGUMU.
▶ Choo kigumu huongeza presha eneo la haja kubwa hivyo husababisha bawasiri kutokea
Hii hutokea zaidi kwa watoto wadogo na watu wenye constipation au wenye tatizo la kutopata choo.
2⃣UZAZI (MIMBA).
Huongeza presha eneo la nyonga hivyo huongeza presha eneo la haja kubwa hivyo huongeza nafasi ya kupata bawasiri
3⃣KITAMBI (OBESITY).
Pia huongeza presha eneo la nyonga, hii hupelekea huongeza presha eneo la haja kubwa.
4⃣KUNYANYUA VITU VIZITOπ³
Pia huongeza presha eneo la haja kubwa,pia huongeza nafasi ya kupata bawasiri
~TIBA ILIYOZOELEKA.
▶ Mara nyingi watu wengine hufanyiwa UPASUAJI Ili kutatua tatizo hili , Kwa jinsi lilivyo ... Matibabu haya Yamekuwa na Matokeo Ya aina Tofauti Tofauti Kutokana na Kutoondoa Chanzo Cha Tatizo Ikiwemo Maumivu Makali Baada Ya Upasuaji na Hata Tatizo Kujirudia tena na tena Baada ya Upasuaji na Hata Kuharibu Kabisa Muenokano Wa Eneo la Njia Ya Haja Kubwa.
▶ TIBA YA BAWASIRI BILA UPASUAJIπ³
▶ Zipo tiba za aina nyingi katika kutatua ugonjwa huu! Ila kwetu sisi tunatumia njia mbadala ambayo huondoa tatizo hilo Kabisa Bila Kujiridia rudia na hutakuwa na haja ya kufanyiwa upasuaji kama hujapata dawa hii ya pilecar![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCRqF5AE_pd1rDB2xyNI0MLrKq7-5ZoM1PaFERnyiBjNV2BmROWZObd9yypBjPW8nCDBYnyKHEoopSKZon6GS5f5N9n03oPjFIAARoK45tHqRMSwmEWV2vC5JCzgrncqV25Z61HYxeUp43/s1600/IMG_ORG_1679375086897.jpeg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCRqF5AE_pd1rDB2xyNI0MLrKq7-5ZoM1PaFERnyiBjNV2BmROWZObd9yypBjPW8nCDBYnyKHEoopSKZon6GS5f5N9n03oPjFIAARoK45tHqRMSwmEWV2vC5JCzgrncqV25Z61HYxeUp43/s1600/IMG_ORG_1679375086897.jpeg)
e Basi hakikisha unaipata mapema sana ni MJARABU wa bawasiri.
Health consultation
Tunajali afya YAKO.
Maoni
Chapisha Maoni