Vipimo vya bawasiri

*JE, NI VIPIMO GANI HUTUMIKA KUTAMBUA KAMA NINA BAWASIRI*
Na Dr jimmy 0620165254

Utambuzi wa bawasiri huonekana kwa dalili anazozipata mgonjwa(physical signs) mfano:
-Kutokwa na kinyama sehemu ya tundu la haja kubwa.
-Kupata miwasho sehemu ya tundu la haja kubwa.
-Kupata dalili za kuwaka moto sehemu ya tundu la haja kubwa.
- Kupata choo kigumu au kilaini chenye damu.
-Kupata unyevu wa mara kwa mara sehemu ya tundu la haja kubwa.
-Kupata Maumivu makali sehemu ya tundu la haja kubwa na hali ambayo husababisha kupata maumivu wakati wa kukaa na kupata ugumu wa kukaa vizuri.

Pia Ili kupata utambuzi kutoka hospitali yoyote utakayoiendea yenye vipimo, daktari wako anaweza kukufanyia uchunguzi wa mwili kwa njia zifuatazo unapofika kituo chochote cha afya ambacho kina vipimo husika.

Vifuatavyo ni Vipimo mbalimbali vya bawasiri unavyoweza kuvipata hospitali yoyote iliyo karibu nawe yenye vipimo:

1. Uchunguzi wa puru(rectum), ambapo daktari anatumia kidole chenye glavuzi kuangalia ndani ya puru(rectum) yako.

 2. Anoscopy, ambapo daktari huingiza upeo uliowashwa(a lightened scope) kwenye puru(rectum) yako ili kuchunguza mfereji wa haja kubwa. 

3. Colonoscopy, ambapo daktari huweka tube ndefu inayonyumbulika(a long flexible  tuble) iliyofungwa kamera ndogo kwenye puru(rectum) ili kuchunguza eneo zima ambalo bawasiri inaweza kujikoteza.

👉JE, WEWE UMESHAJITAMBUA KUWA UNA BAWASIRI.

Kama ndiyo usiwe na hofu na usikose kujiamini Tiba ipo mkombozi wa tatizo lako dawa hii inaitwa pilecare.
Kama umekata tamaa Basi rudisha tumaini lako tena.

Health consultation
Tunajali afya YAKO.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.