VYAKULA GANI nitumie NIKIWA na vidonda vya tumbo na acid?
*VYAKULA GANI NITUMIE NIKIWA NA VIDONDA VYA TUMBO na acid*
Na Dr jimmy 0620165254.
Wewe unae teseka na vidonda vya tumbo Kuna vitu unavyo takiwa kuacha kutumia kabisa kwa Sasa ili uweze kuwa salama
*Vitu usivyopaswa kuvitumia.*
๐Vyakula vya kusisimua mwili,
๐Vyakula na VINYWAJI vyenye caffeine na Asidi nyingi mfano
๐chai ya rangi,
๐ kahawa,
๐vyakula vya kwenye makopo soda na juice za viwandani hivyo huchangia kwa kiasi kikubwa vidonda vya tumbo lakini pia acha
kutumia chumvi nyingi hasa ๐epuka kutumia chumvi mbichi epuka kutumia
๐vilevi vya Aina yoyote,
๐ karanga,
๐dagaa,
๐ Maziwa
๐ maharage,
๐kuku wa kisasa au mayai ya kisasa,
๐pilau,
๐nyama nyekundu
๐ Sukari
๐ chainise kisamvu , nk *hivyo husababisha kwa kiasi kikubwa kutokupona kwa vidonda vya tumbo hivyo viache kwa mda mpaka utakapo pona*
Matunda unaweza kupunguza na ikiwezekana Acha kabisa kutumia matunda yafwatayo
๐ Nanasi
๐ Chungwa
๐Ukwaju
๐Chips
๐Limao au ndimu
*Vyakula unavyo weza kutumia*
✍️Penda kula matunda kwa kiasi kikubwa Sana kila unapo pata Chakula akikisha Kuna matunda pembeni yako, ,Penda kula
✅ ndizi za kupika au zilizo iva au unga wa ndizi pia itakusaidia,
✅ Parachichi
✅ Tikiti maji
✅Tango
✅Karoti
*MBOGA ZA MAJANI*
penda kula mboga za majani kama
✅mlenda,
✅Matembele,
✅mchicha,
✅kabeji,
✅nyanya chungu*
✅ BAMIA
Lakini unaweza kutumia samaki wabichi wa kuchemsha
*CHAI YA ASUBUHI KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBU*
Chai yako iwe na viungo Mbalimbali Kama vile
✅ mdalasini,
✅ iliki,
✅mchaichai,
✅Karafuu, Kumbuka viungo hivi vinaweza Kuwa vya unga au majani na unaweza kutumia vyote au ata kimoja Kama mazingiza hayaruhusu,
*ANGALIZO* ๐ Kumbuka hutakiwi kutumia vitu vyenye caffeine nyingi Usitumie majani ya dukani mfano *chai Bora,*
*ANGALIZO* *HUTAKIWI KUTUMIA SUKARI* wewe mwenye vidonda vya tumbo tumia asali badala ya sukari *,Tena asali mbichi ambayo haijachakachuliwa* kumbuka asali Ni miongoni mwa vitu vinavyopunguza vidonda vya tumbo.
*VITAFUNWA*
๐Mayai ya kienyeji
๐mkate wa ngano ambayo haijakobolewa brown bread
๐Chapati ya unga wa Nagano amabayo haijakobolewa, ikiwezekana hizi chapati zikandwe na tui la nazi na sio maji tu
๐Ndizi za kuchemsha
๐Ndizi Nyama na Nazi
๐Nyama ya kuku wa kienyeji na Nazi ๐ Wali Nazi.
Health consultation
Tunajali afya YAKO.
Maoni
Chapisha Maoni