Dalili za tezi dume.



*Ni zipi dalili za ugonjwa wa tezi dume?* 👉 Dalili za tezi dume zinaweza kuwa kali ama hafifu kutoka mtu hadi mtu. 👉 Ukali wa dalili hizi hautegemei ukubwa wa tezi. 👉 Inaweza kuwa tezi ni kubwa lakini dalili zisiwe kali. 👉 Miongoni mwa dalili za tezi dume ni:- 👇👇👇👇👇👇👇👇👇 1. *Kukojoa mara kwa* mara, ama kuhisi kukojoa mara kwa mara 2. *Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku* 3. *Kupatwa na ugumu* kutoa mkojo 4.Mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu 5. *Mkojo kukatakata unapofika karibu a mwisho* 6.Kujichafua wakati wa kukojoa 7. *Kushindwa kumaliza mkojo kabisa.* 8.Damu kwenye mkojo 9. *Kushindwa kukojoa kabisa.* 10. *Kupata mkojo mchache sana * *Kuwa na dalili tajwa hapo juu pekee hakuwezi kukupa uhakika kuwa* una tatizo la tezi dume. 👆👆👆👆👆👆👆 Kwani dalili tajwa hapo juu zinaweza kuambatananna shida nyingine za kiafya kwa mfano:- 1.Maambukizi ya UTI 2.Kuvimba kwa tezi 3.Kupunguwa ukubwa wa mrija wa mkojo 4.Kuwepo na vijiwe kwenye kibofu 5.Kuwa na shida kwenye mfumo wa neva ambazo hudhibiti ufanyaji kazi wa kibofu 6.Kuwa na saratani 7.Kama upasuaji katika kibofu haukufanyika sawa.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.