Jinsia ya kutibu gout/uric acid.
*Vyakula Asilia Vitakusaidia Kutibu na kuzuia Gout au uric acid*
Na Dr jimmy 0620165254
Ugonjwa wa gout unaletekezwa kwa kiasi kikubwa na lishe. Kwahiyo ukibadilisha baadhi ya vyakula utapunguza makali ya ugonjwa na kuondoa atari ya tatizo kujirudia siku za mbele.
*Tumeric au manjano.*
Manjano ni kiungo tiba cha miaka mingi ambacho kimekuwa kikitumiwa tangu enzi za zamani kutibu magonjwa mbalimbali ikiwemo magonjwa ya moyo na gout. Unaweza kutumia unga wake vijiko viwili mara tatu kwa siku.
*Kahawa*
unywaji wa kahawa mara kwa mara inaaminika kupunguza kiwango cha uric acid mwilini.
*Vyakula vyenye kambakamba kwa wingi*
kama viazi. ndizi, mboga za majani na parachichi.
Vyakula vyenye magenesium kwa wingi kama mbegi za maboga, mtindi, parachichi, broccoli na almonds
LIshe yenye vitamin C kwa wingi kama: Machungwa, hoho, broccoli, mapera na straberries.
*Vyakula vyenye mafuta ya omega 3 kwa wingi* kama samaki. Unaweza pia kutumia virutubisho kama deap sea fish oil kama tayari unaumwa ili kukusaidia kupata nafuu haraka.
Mazingira Hatarishi na sababu zinazokufanya Uugue Gout
πUlaji wa vyakula vyenye purine kwa wingi kama pombe na sukari ya fructose inayopatikana kwa wingi kwenye soda na vinywaji vya kusindika.
πUzito mkubwa na kitambi
Watu wenye uzito mkubwa na kitambi hutengeneza uric acid kwa wingi na figo kushindwa kutoa acid mwilini. Metabolic syndrome ni tatizo linatokea kwa shughuli za mwili kutoenda inavotakiwa. Matatizo kama uzito mkubwa kupanda shinikizo la damu na insulini huletekezwa na metabolic syndrome na chanzo kimojawapo cha metabolic syndrome ni kuongezeka kwa uric acid kwenye damu .
πWagonjwa wenye historia ya kupata matatizo ya kiafya hapo nyuma:
Watu wenye matatizo ya kiafya kama kisukari, shinikizo kubwa la damu, magonjwa ya moyo, na matatizo ya cholesterol nyingi wapo kwenye hatari zaidi ya kupata gout.
πMagonjwa ya figo: kama tulivyosoma pale juu figo ni kiungo muhimu kwenye utoaji wa uric acid, hivo figo inapopata hitilafu, kiwango kingi cha uric acid kitajikusanya kwenye maungio ya mifupa na kutengeneza vijimawe.
Maelezo ya Mwisho kwa wewe Mgonjwa wa Gout
Gout ni ugonjwa hatari unaweza kuletekeza ulemavu wa viungo ambao unaweza kukupata haraka pasipo kutoa vashiria
Gout huwapata zaidi wanaume kuliko wanawake
Kurekebisha lishe na kuepuka vyakula kama pombe na sukari ni njia ya kuanzia katika kutibu tatizo lako
Gout isipotibiwa na kuwa chronic hutengeneza vifundo na kubadilisha kabisa mwonekano wa viungo vyako hata ukashindwa kutembea na kufanya kazi
Kuwa na Gout kunakuweka kwenye hatari ya kupata magonjwa zaidi ya figo na moyo
Kufanya mazoezi mara kwa mara husaidia kutoa sumu ya uric acid kwenye damu: tumia hii kama njia ya kuzuia na siyo kutibu maana ni vigumu kufanya mazoezi wakati unaumwa utashindwa.
Kula zaidi vyakula vyenye Vitamin C kwa wingi
Hakikisha unakunywa maji ya kutosha kila siku, hii itakusaidia si tu kuondoa hatari ya kupata gout bali hata kuweka sawa shinikizo la damu na kuzuia magonjwa ya figo.
Anza kwa kutumia dawa asili kutoka kwetu, kusafisha figo, na kuondoa uric acid iliyojikusanya kwenye maungio ya mifupa.
*Kama BADO unateseka na uric acid(gout) umefkia mahali huwezi vaa viatu,huwezi kutembea,joint zimevimba,huwezi kuchuchumaa kabisa Basi tumia uric acid plus kuondokana na tatizo hilo dawa hii inatumika miezi 3 KILA mwezi hugharimu 250,000 usiteseke tena uric acid hutibika*
Health consultation
Maoni
Chapisha Maoni