KWA nini hubebi ujauzito?



*CHANZO CHA MATATIZO YA AKINA MAMA YAPO HASA KWENYE TATIZO LA MVURUGIKO WA HORMONES* Imeandaliwa na👇 *Dr.jimmy* VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI 🥒Uwepo wa takamwili nyingi na sumu mwilini 🥒Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha) 🥒Umri ukienda sana 🥒Kukoma kwa hedhi 🥒Kutofanya mazoezi 🥒Uzito mkubwa 🥒Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa 🥒Msongo wa mawazo 🥒Upungufu wa lishe mwilini 🥒Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango 🥒Utoaji wa mimba Family History (Upungufu au ongezeko la homoni ya progesterone na Estrogen) Ongezeko la homoni ya Androgen. Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke. DALILI 🥚 Ukavu ukeni 🥚 Maumivu wakati wa tendo la ndoa 🥚 Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi 🥚 Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa 🥚 Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja) 🥚 Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi 🥚 Uchovu wa mara kwa mara 🥚 Hasira za mara kwa mara 🥚 Kukosa usingizi 🥚 Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara 🥚 (Allergie), kuchagua chagua vyakula 🥚 Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe 🥚 Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k) 🥚 Maumivu ya viungo 🥚 Upungufu wa nywele kichwani. 🥚 Kusahau sana (kukosa kumbukumbu) 🥚 Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi) 🥚 Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea 🥚 Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi 🥚 Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini 🥚 Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango 🥚 Maumivu ya kichwa mara kwa mara  🥚 Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu) 🥚 Kutokupata choo kwa wakati MADHARA Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi kama yafuatayo: 🫑Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu 🫑Mimba kuharibika mara kwa mara 🫑Kukosa mtoto au Ugumba 🫑Maumivu wakati wa tendo la ndoa 🫑Kuwa na tabia na maumbile ya kiume 🫑kuzeeka mapema 🫑Kuziba kwa mirija ya uzazi 🫑Uvimbe (Fibroids and Cysts) Kwa Tiba na Ushauri Wasiliana nasi. 📲0620165254

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.