Namna ya kuondokana na bawasiri.
*HATUA ZA KUZUIA KUTOKEA KWA BAWASIRI*
Na Dr jimmy 0620165254.
Katika masomo yaliyopita tumeona chanzo kikubwa cha tatizo hili ni matatizo ya mfumo wa umen’genyaji kama kukosa choo kwa mda mrefu, kupata choo kigumu, kuharisha mara kwa mara na tumbo kujaa gesi, hivo kwa kuzuia matatizo haya basi utakuwa umejikinga na bawasili.
*Hivo hakikisha unafanya yafuatayo;*
*Kula mbogamboga za majani, na nafaka* zisizokobolewa, matumizi ya vyakula vya nyuzinyuzi kwa wingi husaidia kuongeza ukubwa wa kinyesi na hivo kurahisha utolewaji wake, kama mwanzo hukutumia vyakula vya nyuzinyuzi basi anza kuongeza taratibu kwenye mlo wako mpaka pale tumbo litakapozoea.
Tumia machungwa kwa wingi, machungwa yana kiungo kinachoitwa flavonoids, kiungo hiki ni muhimu katika ustawi wa mishipa ya damu ya Veins, mishipa hii ndio huathirika na kuletekeza bawasiri.
*Kunywa maji ya kutosha kila siku*
tumia kiu na rangi ya mkojo kama kiashiria cha kiasi gani cha maji unatakiwa kunywa, kama mkojo ni wa rangi ya njano inayokolea basi ni kiashiria kwamba mwili hauna maji ya kutosha na unatakiwa kunywa. Nyuzinyuzi na maji ya kutosha husaidia kulainisha choo chako na hivo kurahisisha utolewaji wake bila kujikamua.
Hakikisha unapata dawa kwa ajili ya kusawazisha bacteria wazuri ndani ya mfumo wa chakula, zenye ubora wa hali ya juu usimeze kila dawa Kama huna chanzo kizuri cha kupata dawa hizi fika ofsini kwetu KWA msaada zaidi.
*Zingatia haya Ukiwa Chooni*
πRuhusu mwili wako kufanya kazi kwa jinsi ulivoumbiwa, yaani pale unapojiskia haja basi hakikisha unaenda mara moja kujisaidia pasipo kujizuia, kujichelewesha kunaweza kusababisha Constipation.
πUsikae mda mrefu chooni ukijisaidia, hii inaongeza mgandamizo katika eneo la chini kwenye mishipa ya damu na hivo kukuongeza hatari ya kupata bawasili. Tumia dakika 3 mpaka 5, ama subiri mpaka unapokuwa na haja, kama unajiskia kutoa uchafu lakni ukienda chooni kinyesi hakitoki basi tembea tembea ama fanya zoezi la Squats.
πUsitumie nguvu kubwa kujikamua kutoa haja, tumia misuli ya tumbo kutoa haja taratibu.
Unapotoa haja basi hakikisha unachuchumaa kama miili yetu ilivoumbwa. Watu wanaotumia njia hii mara chache sana huugua bawasili, lakini matumizi ya vyoo vya kukaa ni moja ya kihatarishi cha kupata bawasili kutokana na kwamba inahitajika utumie nguvu kubwa sana kujikamua.
πTumi njia salama Kujisafisha
Usitumie nguvu kubwa kujifuta kwa toilet paper ama wipes zingine baada ya kwenda haja, hii hufanya ngozi kulanika na kuvimba
Kama inawezekana jisafishe taratibu kwa kutumia maji bila sabuni, na kujifuta kwa taulo laini.
Kwa maeneo ambapo huwezi kutumia maji mfano kwenye vyoo vya umma, basi tumia wipes laini zenye unyevunyevu.
*Kama BADO unateseka na tatizo hili la bawasiri Basi usikose dawa yetu MJARABU ya bawasiri iitwayo PILECARE imekuwa msaada KWA watu wengi sana,usikate tamaa Tiba ipo dawa hii inapatikana KWA sh 180,000 tu*
Kama umeelewa twandikie hapo chini kama BADO una swali tuulize au piga 0620165254.
Health consultation
Maoni
Chapisha Maoni