Namna ya kupata mtoto wa kike au kiume.

*INAKUHUSU HII MTOTO WA KIKE AU KIUME ANATOKEAJE*
Na drjimmy 0620165254

Habari rafiki yangu kuendana na maswali mengi ya jinsi gani mtoto wa kike au kiume hutokea. Inakuwa hivi nifatilie. 

Katika urutubishaji yai la mwanamke linabeba chromosome X yaani XX

Na mbegu ya mwanaume inabeba chromosome XY

Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na Y kutoka kwa mwanaume mtoto wa kiume hupatikana.
Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na X kutoka kwa mwanaume mtoto wa kike hupatikana

*FAHAMU SIFA ZA CHROMOSOMES X na Y za mwanaume*

Ili uweze kufanikiwa kuchagua mtoto wa kiume au wa kike lazima ujue sifa za chromosomes hizi zinazoamua jinsia ya mtoto.

*SIFA ZA CHROMOSOMES Y*

Zina spidi  kubwa sana kwa hiyo kama yai lipo tayari zenyewe  zitawahi kwenda kurutubisha

Zina maisha mafupi sana kulinganisha na X

*SIFA ZA CHROMOSOMES X*

Zina spidi ndogo sana 

Zina maisha marefu kulinganisha na Y 
Baada ya kujua sifa za chromosome ambazo ndo zinatusaidia kuamua jinsia twende moja kwa moja kwenye jinsi ya kupata mtoto wa jinsia unayotaka

*MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUAMUA JINSIA* 

Lazima mwanamke ajue mzunguko wake (menstrual cycle)siku ya 1-28

Lazima mzunguko wako uwe na mpangilio sahihi(unaweza ukachunguza mzunguko wako kwa miezi minne mfululizo)

PH ya uke lazima iwe kiwango sahihi 4-5.5(Tumia neplily pads kwa kuwa na PH sahihi

Ushirikiano kati ya mwanamke na mwanaume 

*JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME*
Ili uweze kupata mtoto wa kiume kisayansi unashauriwa kushiriki tendo la ndoa siku ambayo yai litakuwa limetoka kama mzunguko wako uko sahihi ni siku ya 14.

Njia nyingine ya kujua yai limetoka baba anaingiza vidole viwili ukeni wakati wa asubuhi na ukikuta uteute ujue yai limetoka kwa hiyo jioni mnashiriki tendo la ndoa kwa ajili ya kupata mtoto wa kiume

*KWANINI USHIRIKI TENDO LA NDOA WAKATI YAI LIMETOKA ILI KUPATA MTOTO WA KIUME?*
Kisayansi chromosome Y ambayo inahusika katika kutunga mimba ya mtoto wa kiume ina spidi kubwa sana ni nyepesi na haiwezi kuishi muda mrefu kwa hiyo ukishiriki tendo la ndoa wakati yai limetoka maana yake unaongeza nafasi ya kupata mtoto wa kiume.

*JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIKE*
Ili ufanikiwe kupata mtoto wa kike utatakiwa ushiriki tendo la ndoa siku tatu kabla ya yai kupevuka  yaani hapa ni baada ya kujua mzunguko

*KWANINI USHIRIKI TENDO LA NDOA SIKU TATU Kabla. ?*

Hii ni kwasababu  chromosome X ambazo ndo zinaunda mtoto wa kike huwa zina sifa ya kuwa na maisha marefu na kutembea taratibu hivyo yai likitolewa litakuta chromosome X ziko hai

KUNA BAADHI YA WAZEE WA ZAMANI WANAAMINI HAYA KATIKA KUPATA MTOTO WA JINSIA UNAYOTAKA

KUPATA WA KIKE
Kula samaki, mboga za majani, matunda, bidhaa za maziwa, mbegu za matikiti maji, alzeti n.k

-Wakati wa kufanya tendo la ndoa mwanamke akae juu n.k

KUPATA WA KIUME
Kula nyama, ndizi, Vyakula vya chumvi kama chips ila usizidishe chumvi, karanga na vyakula vingine vya potassium na sodium.
Chromosomes Y zinahitaji pH ya alkane kuliko asidi ndio maana wazee waliona hili.

Kuna mengi kuhusu wazee wa zamani ila tumeongelea haya ya mlo kwa maana yana mantiki kibaiolojia

MAMBO YANAYOWEZA ATHIRI KUPATA MTOTO UNAYEMTAKA

Kushindwa kuhesabu siku

Mzunguko mbovu wa hedhi(Tumia neplily pad)

Kutokuwa na PH sahihi ukeni tumia Neplily

WANAUME:
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wanaume kutoweza kubebesha mimba au kuishiwa nguvu za kiume. Sababu ni nyingi tumekuwa tukizitaja katika makala zetu zilizopita ikiwemo upigaji holela wa punyeto 

Baada ya mambo mengi kupita nimeanza kutoa mwongozo ambao mtu akiufuata atarudisha kabisa uwezo wake katika tendo la ndoa. Huu ni mwongozo salama kiafya kwani utatumia vitu salama na vyenye faida katika mwili wako. 

Ambavyo ni virutubisho vya tiba mbadala sahihi kabisa bila Kemikali.

Health consultation
Tunajali afya YAKO


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.