Namna bawasiri inavyosababisha kansa
![Picha](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEjOwL-GWAQsGC2yrn2ECWy-2dGSY4g7rsNS91ZoZVIFcDwZH3xAf8EhAFaHpbqPypvRgtKSBqS32gahF33OInDU1zKHTxVO7nnuWX2j8eLKYvpSE60i7RWL-Uxcu2HZ4xHpnGvGzh0toF/s1600/IMG_ORG_1683946067434.jpeg)
*Watu wengi HUWA hawataki kuamini ukweli na uhalisia wa jambo lakini ukweli hubaki palepale* *Mara nyingi nikiwambia kuwa bawasiri hupelekea kansa wengi hudhani ni uongo na tunakuza tatizo lakini uhalisia na ukweli hubaki kama ilivyo kuwa bawasiri hupelekea kansa na wengi wameshapitia katika hatua hii* *Wengi hufikilia kuwa mpaka wapate kansa labda wakae na tatizo KWA muda mrefu la hasha unaweza kuwa na tatizo ndani ya muda mfupi na ukapata kansa na ukawa nalo KWA muda mrefu bila kansa kinachofanya KAZI hapa ni kinga kuwa tofauti Kati ya mtu na mtu* *Pia nimewah Kutoa maelkezo kuwa bawasiri KWA mwanamke inawez kuwa ukeni au kwenye njia ya haja kubwa KWA hiyo wanaume msishtuke Sana ni ugonjwa kama magonjwa mengine hii ni kutokana na maumbile ya wenzetu na pia hii ndo hupelekea mimba kuharibika na kutoka Mara KWA mara siyo tatizo la kufumbia macho wewe mwanamke na wewe mwenye mtoto wa kike unahitaji kuitwa bibi baadae au Babu na kasumba ya kuwa nina bawasiri lakini hainiumi ndugu ku...