KWA nini unaendlea kutumia dawa za maumivu KILA siku?
*Huwezi pona KWA kuongeza sumu mwilini*
Na Dr jimmy 0620165254
Ukiwa na maumivu
Iwe ya tumbo
Iwe ya kichwa
Iwe ya mifupa
Iwe ya macho
Iwe ya mikono
Iwe ya meno
Iwe ya kiuno au
Mgongo....................
Hospital watakupa dawa inaitwa " Dawa za kutuliza maumivu " a.k.a Antibiotic
Nini maana ya dawa za kutuliza maumivu ?
Maana yake ni kemikali ambazo uchanganywa katika unga wa kidonge, unapomeza zile chemical zinaenda tumboni na baadaye kuchujwa kwenye ini kisha ini kuzituma kwenye damu nayo damu huzichota kemikali hizo kwenda Kwenye ubongo zikifika hapo zinazimisha hormone ya maumivu, nayo hormone ikiisha zimishwa unajihisi mwili kutulia.
Lakini hapa unakuwa hujatibu bali umetuliza tatizo, kila utakapokuwa na maumivu utameza na kumeza dawa hizo na hali ya maumivu itatulia na kutulia.
Lakini kumbuka umemeza dawa ya Maumivu hujatatua tatizo au chanzo cha kwanini kichwa liume,
Kwanini tumbo liume,
Kwanini jino liume,
Kwanini kiuno kiume,
Hali hiyo itaendelea kuwa kitendawili hadi siku ambapo lile tatizo huanza kuwa sugu na sugu.
Fatilia wanawake wenye PID leo, walihisi maumivu ya tumbo ila hawakujali walizimisha maumivu kwa kunywa dawa za maumivu ya tumbo ila siku zilisonga na mwishoni tatizo laibuka ila kama wangeanza kutibu chanzo na sio maumivu leo wasingekuwepo watu wana
Saratani, vidonda vya tumbo,presha,uric acid,tatizo la kumbukumbu, magonjwa yasiotibika ila sababu ya uzembe wao hawawezi kutibu tena maana tayari ni sugu.
Ndugu yangu kuna hatari kubwa katika dawa hizi za kupunguza maumivu na unywaji wa dawa KILA siku ni hatari KWA afya YAKO.
Je nini kinakufanya unywe dawa KILA siku? Twambie hapo chini tuone namna ya kukusaidia
Health consultation
Maoni
Chapisha Maoni