Rudisha nguvu zako za kiume.

*TIBA YA ASILI YA NGUVU ZA KIUME*
Na Dr jimmy 0620165254

Mahitaji
Asali mbichi Lita moja, tangawizi punje tano, Vitunguu swaum punje tano,unga wa mdalasini pakiti tatu.

Maandalizi ya dawa
a)Osha tangawizi vizuri kuondoa udongo na uchafu wote,

b)Chukua tangawizi zako twanga kwenye kinu au saga kwa Brenda mpaka viwe laini hifadhi kwenye chombo kisafi.

c) Chukua vitunguu swaum punje tano zimenye toa maganda yake vibaki viini vyake, baadae twanga kwenye kinu  au saga kwenye Brenda.baadae weka kweny chombo kisafi.

d)Chukua pakiti zako za unga wa mdalasini fungua na tia kwenye chombo kisafi pembeni.

e) Baada ya hapo chukua chukua kisado weka asali yako, tangawizi iliyosagwa, Vitunguu swaum ulivyosaga na unga wa mdalasini changanya kwa pamoja hakikisha vinachanganyika vizr.

f) Baadae chukua chupa tupu ya maji nyenye ujazo wa Lita moja na nusu tia mchanganyiko huo wa dawa Kweny hiyo chupa baade weka juani hiyo chupa ili dawa iyeyuke na ichanganyike ipasavyo.Hapo dawa utakuwa tayari kwa kutumia.

Matumizi ya dawa
Tumia kunywa asubuh na jioni,Kijiko kimoja Cha chakula kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili.

Utaanza kuona dalili za kujiona rijali kuanzia siku tatu na kuendelea.

Ushauri,
a)Unaweza kuwa unatafuna karanga mbichi kiganja kimoja pamoja na Mizizi ya ndulele kila siku kabla ya mechi.

b)Fanya mazoezi mepesi ya kuongeza nguvu za kiume mfano zoezi la kegel,kiruka kichura chura,push up pia,kukimbia.

c)Kunywa maji mengi kila siku walau sita tano
 
d) Epuka kula vyakula vya viwandani,chips ,vinywaji Kama soda ya koka,sigara,pombe, energy drink,

e)Shiriki tendo la ndoa Mara kwa Mara 

f)Epuka kukamia mechi

g)Kabla ya mechi mwandae vyema mrembo wako.

h)Epuka hofu.
i) Kama unaweza tafuta miziz ya ukwaju chemsha kunywa kutwa Mara mbili tumia kikombe Cha chai.

Health consultation
Tunajali afya YAKO


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.