Tiba ya bawasiri.

*Tiba ya bawasiri ya nje na ndani*
Na Dr jimmy 0620165254.

*Majani ya mzungwa*

1 Chukuwa majani ya mzungwa Kisha kausha juani halafu utayasaga baada ya hapo Tenga makundi mawili.

1.KUNDI LA KWANZA,utachukuwa huo unga wake utakuwa unakunywa Kwa maji moto kutwa mara 3 Kwa siku 5

2.KUNDI LA PILI,utachukuwa unga wake halafu utachanganya na mafuta ya mnyonyo halafu utakuwa unaweka kwenye BAWASIRI Yako kutwa mara 2 ile uvimbe wa nje.


*UNGA WA MBEGU YA EMBE (KOKWA)*
___
chukua kokwa la embe lililoiva zianike juani zitwange unga wake hifadh katka chupa isiyotoa hewa. kisha changanya gram 2 za unga huu na kiasi kdog cha asali na ulambe yote kwa siku 7

 *BAKING PODA*

 Tafiti nying zinasema baking poda inafaida kubwa pia katika kutibu bawasiri unatakiwa kuchanganya unga huu na maji kidogo kisha upake moja kwa moja na sehem yenye tatizo. 

ili upone bawasiri moja kwa moja kwa urahs zaid zingatia yafuatayo. ___ (1 kula vyakula vyenye nyuz nyuz (fiber) kila siku. (2 kunywa maji meng kila siku il kusafisha na kuepuka kufunga choo (3 kula sana mboga za majani na matunda (4 kula vyakula ambavyo havijakobolewa (5 fanya mazoez ya kuchuchumaa na kukaa mara 1 kwa siku (squtting). (6 usitumie choo cha kukaa (7 usikae kwenye kiti muda mrefu. KWA LEO TUISHIE HAPA. NA MUNGU AWABARIKI.

Bawasiri inatibika bila upasuaji na Mara nyingi ukifanya upasuaji tatizo hurudi baada ya muda kadhaa na ukichelewa kutibu tatizo HILI hupelekea utumbo kuoza na kansa,JITAHIDI utibu tatizo.


Kama umenielewa vzr WEKA emoji yoyote nzito hapo chini.

Msaada zaidi tuwasliane 0620165254.

Health consultation
Tunajali afya YAKO.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.