Namna ya kushusha presha.
Namna ya kushusha sukari
Tibu nyumbani - 19/06/2023
*NAMNA YA KUSHUSHA SUKARI*
NA Dr jimmy 0620165254.
Hapa ntazungumzia namna ya kushusha SUKARI na siyo kutibu,
Namna ya kushusha SUKARI ndani ya damu wengi hutumia vidonge,VYAKULA,insulin, na njia za asili hii ni kushusha na siyo kutibu hata hiyo insulin,vidonge,sindano na hizo hushusha tu.
Namna mbili ya kushusha SUKARI
🍎 *KUZUIA mfumo wa mmeng'enyaji wa chakula usione sukari*
Chanzo cha glucose ndani ya damu kama cabohadret,starch na sukari kuvizuia kufyonzwa na kuingia ndani ya damu na hapa hospitalin hutumia vidonge viitwavyo metaphomen.
🍎 Kubadilisha sukari iliyo ndani ya damu kuwa kemikali nyingne na kutolewa nje kama mkojo.
Mimi leo nakupa njia ya kawaida kabisa
🍎 Osha bamia 10 na maji ya moto unakatakata unaloweka kwenye maji ya kawaida glass MOJA baada ya masaa 8 unakunywa FANYA hivo asbuh na jioni kipindi unatumia jitahidi uwe unapima Mara KWA mara ikiwa 5_6 acha.
🍎 *Juisi ya machicha*
Tafuta fungu la robo osha na kata vizuri then blend pata glass 4 yaan asbuh 2 na jioni 2 kumbuka juisi hii usihifadhi.
Itashuka bila kuacha madhara na kipindi unafanya hivi Basi uwe unapima Mara KWA mara itafaa zaidi.
Kama wazidi kuteseka na changamoto hii Basi wasliana nami Dr jimmy 0620165254.
Maoni
Chapisha Maoni