Jinsi p.i.d na fangasi zinavobadili shape ya uke
*Fahamu Kwa Nini wahanga wengi wa p.i.d na fangasi na p.i.d uke wao hupoteza mvuto na mwonekano*
Na Dr jimmy 0620165254
*Soma mpaka mwisho*
Tatizo moja kwenye uzazi huanzisha tatizo jingine, Hivi umewahi kujiuliza kwa nini wahanga wa P.I.D mara nyingi hata uchi wao hupoteza mvuto / muonekano...
Shambulizi la Bakteria / Fangasi kwenye via vya uzazi, huenda kuathiri Ovary, Ovary ni tezi ambayo hufanya kazi ya kuchochea uzalishwaji wa homoni ya oestrojeni na moja ya kazi ya oestrogen ni kutengeneza shepu ya maumbile ya kike kama nyonga, kalio, na mabadiliko ya umbo la mwanamke tangu kubalehe ikiwemo mashavu ya uke....
Shambulizi la Bakteria huenda kuharibu ovary na ovary ikianza kupata shida basi homoni huanza kuvurugika ndio maana hata mashavu ya k huonekana kulegea, kuharibika n.k
Endelea kujiweka mbali na maambukizi, kunywa maji, kuwa msafi na kula vizuri, ujiweke mbali na magonjwa ya uzazi
Iwapo una changamoto katika uzazi na ungependa kujua namna ya kuitatua, ungana nasi kwenye program yetu maalumu ambayo utapata faida zifuatazo
PROGRAM ILIYOSAIDIA WANAWAKE WENGI KUWA KWENYE AFYA YAO BORA NA KUBEBA UJAUZITO.
1 Tiba ya uvimbe kwenye kizazi.
2 Namna ya kubana uke na kufanya uwe na mnato.
3 Tiba ya u.t.i,fangasi na p.i.d
4 Namna ya kusogeza kizazi karibu na kusafisha kizazi.
5 Namna ya kubalance homon( kukosa hamu,Ute,hedhi,maumivu ya maziwa,maziwa kutoa maji maji na kuuma,mayai kutopevuka,period kupishana,hedhi kutoka mabonge na yenye utelezi,mayai kutopevuka
6 Namna ya kuondoa sumu mwilini zilizosababishwa na njia za uzazi wa mpango za kisasa.
7 Namna ya kuhesabu siku zako na Namna ya kupata mtoto umtakaye( kiume au kike)
8 Namna ya kurudisha kizazi kilichoinama au kusogea mbali.
9 Dawa ya makovu ukeni na uvimbe kwenye mayai
10. Tiba ya chango.
11. Mazoezi maalumu wakati wa kutafuta ujauzito.
12 Njia za uzazi wa mpango za ASILI na kusafisha uke wako.
13 Namna ya kusex ukiwa mjamzito na kulala
14 Namna ya kuondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la UZAZI,mirija na vifuko vya mayai
15 Namna ya kusafisha via vya uzazi kama msongamano wa maji machafu kwenye mirija ya uzazi na fuko la UZAZI,kuondoa infection za bakteria na fangasi
*Utapata ushauri wa changamoto zote ziwakumbazo wanawake na Namna ya KUTATUA kirahisi Kwa kutumia njia rahisi ukiwa nyumbani utachangia ada ya sh 20,000 tu kama wahitaji program hii basi twandikie inbox,Andika neno UZAZI SALAMA*
Maoni
Chapisha Maoni