Namna ya kupata mimba haraka
Jitahidi kuhimizana mume na mke kupima kujua afya yenu ili hata mnapotafuta msaada wa matibabu mjue ni nani mwenye tatizo na ni tatizo gani.
Hii inasaidia kupunguza gharama za mara kwa mara, msongo wa mawazo na migogoro katika ndoa.
Kuna baadhi mnatumia google tu, hii siishauri, kuingia google na ku-search JINSI YA KUPATA MIMBA HARAKA 🤣🤣 haiwezi kukusaidia kwa lolote bila kujua chanzo cha tatizo.
Hospitalini sio polisi wala mahakamani, msigope kwenda kupima
Maoni
Chapisha Maoni