Uke kulegea

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—”π— π—žπ—˜ π—Ÿπ—” π—¨π—–π—›π—œ π—žπ—¨π—Ÿπ—˜π—šπ—˜π—” , π—‘π—œ π—‘π—œπ—‘π—œ π—§π—œπ—•π—”?
Na Dr jimmy 0620165254

↘️Jee, wewe ni mmojawapo wa wale wanawake wanaohisi kuwa na tatizo la uchi kulegea? Haupo peke yako, wanawake wengi wanatatizwa na jambo hili, wanaweza kuwa wameambiwa jambo hili na wapenzi wao au wao wenyewe walijaribu kujipima kwa kujiingiza vidole kwenye sehemu hizo za siri. Katika makala hii natumia neno uchi, nikimaanisha sehemu nyeti ya mwanamke ambayo hutumika wakati wa kufanya mapenzi, kupitisha damu chafu wakati wa siku za hedhi na kupitisha mtoto wakati anapozaliwa. Nalitumia neno hilo kukudhi haja ya wengi waliolizoea. Maneno mengine ambayo yamezoeleka kuelezea tatizo hilo ni uchi mpana, uchi mkubwa na mengineyo.

↘️Dalili Za Uchi Kulegea
 

↘️ Kabla ya yote tutazame uchi huu ulivyoumbwa. Uchi ni kama uchi kulegea kijimfuko kirefu kilichozungukwa na misuli ambacho kwa ndani kimezungukwa na utando laini unaovutika wenye unyevunyevu unaosaidia kupunguza msuguano na wenye uwezo wa kuleta hisia za mapenzi. Kabla mwanamke hajawa tayari kwa mapenzi, kijimfuko hiki huwa kidogo chenye urefu wa inchi 2.75 hadi inchi 3.25 na upana wa robo tatu ya inchi kule ndani kinapoishia. Baada ya kuwa tayari kufanya mapenzi, kijimfuko hiki hunyumbuka hadi kufikia urefu wa inchi 5.25 na kutanuka hadi kufikia upana wa inchi 2.5 ndani kinakoishia.

Takwimu za urefu wa uchi hazina maana sana kwetu kwa somo la leo – ni upana ndio tunaotaka kuuzungumzia. Upana huu unaweza kuongezeka kwa kulegea misuli inayouzunguka uchi au kwa kuumbwa na misuli yenye unene mdogo.

↘️Ifahamike kuwa ni kitu cha kawaida misuli hii kulegea umri wa mwanamke unapozidi miaka 60. Sasa kama ni kweli uchi wako umelegea, utaweza kujigundua kwa kuona dalili zifuatazo:

  πŸ‘‰ Kufanya tendo la ndoa hakutakupa starehe sana
 πŸ‘‰ Kufanya tendo la ndoa hakutampa starehe sana mpenzi wako
 πŸ‘‰ Kama utahisi kwamba hewa inaingia na kutoka kwenye uchi  wako (fanny farting)
 πŸ‘‰ Ukiona mkojo
unavuja hasa unapocheka, 
πŸ‘‰ kupiga chafya au kukojoa kisha uume kuchomoka ukeni 
 

 Sababu Za Uchi Kulegea
Kama wewe ni msichana au mwanamke ambaye hujawahi kuzaa hata mara moja, suala la wewe kuwa na uchi mpana ni la kufikirika, uwezekano ni mdogo mno au ni finyu. Kuna dhana iliyoenea kwamba mwanamke anayeshiriki ngono sana atakuwa na uchi uliolegea Huu ni Upuuzi kabisa 😑Mwanamke hata akifanya ngono kiasi gani, uchi hauwezi kuwa mpana eti kwa sababu hiyo.

↘️Sababu kubwa ya kuwa na uchi uliolegea kwa mwanamke ni tendo la Uzazi. Mwanamke anapozaa misuli inayozunguka uchi na vitu vyote vinavyoshikilia kuta za uchi huo huathirika na kupungua nguvu kwa kiasi fulani. Hivyo basi, kila unapozaa, ndivyo unavyoiathiri misuli yako zaidi. Mwanamke mwenye watoto wengi sana, uchi wake utakuwa umeathirika zaidi. Namna ulivyozaa pia inaweza kuchangia, kwa mfano kuzaa kwa matatizo (Plonged labours).

 
↘️ Tiba Ya Tatizo La Uchi Kulegea
 
Njia iliyo bora kabisa ni kuwa makini kwa kufanya mazoezi unayopewa au kufundishwa na wakunga (manesi) mara tu baada ya kuzaa. Lakini endapo mambo yameshaharibika, basi yafuatayo yaweza kufanyika;

πŸ‘‰ 1. Kufanya mazoezi yaitwayo Pelvic Floor Muscle Exercises. Haya ni mazoezi ambayo manesi au wakunga wanaweza pia kukufundisha.

πŸ‘‰ 2. Kufanya mazoezi ya Kegel. Mazoezi haya huipa nguvu misuli (Pelvic Floor Muscles) iliyovutika wakati wa uzazi. Hukufanya usikie raha zaidi ufanyapo tendo la ndoa (more intense orgasms) na huimarisha mfuko wa mkojo ili usivuje. Mazoezi haya hayapunguzi ukubwa wa uchi bali hupunguza kipenyo cha uchi sehemu ya kuingilia.

 πŸ‘‰ 3. Njia nyingine ni kutumia vaginal muscle developers, vaginal cones, neuromuscular electrical stimulation na neocontrol. Hivi ni kwa wale ambao watakuwa na uwezowa kuagiza vifaa hivi kutoka nje.

 *Wanawake wengi wanaendlea kufurahi program yetu ya uzazi kwanza Namna ya kuweka sawa uke uliolegea tiyar Wana matokeo usikose program hii ni sh 20,000 tu na wanaume pia program yenu ipo njiani hutojutia kabisa*

Health consultation
Tunajali afya yako


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.