Faida za maji Kwa wenye vidonda vya tumbo
Je unajua kuwa daktari wa kwanza mwili wako ni wewe mwenyewe?
.
Kama wewe ni mhanga wa vidonda vya tumbo SUGU na haunywi maji pindi unapoianza siku yako
.
Basi unapitwa na faida hizi:
Hapa kuna faida tatu kuu za kunywa maji asubuhi kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo:
*1: Kupunguza asidi tumbo:* Vidonda vya tumbo mara nyingi husababishwa na ziada ya asidi katika tumbo. hivyo
Kunywa maji asubuhi kabla ya kula chochote husaidia kuondoa asidi hiyo na kupunguza kiwango cha asidi tumbo.
Hii itakusaidia kupunguza maumivu na kusaidia uponyaji wa vidonda vya tumbo.
*2: Kusaidia utumbo wa kawaida:* Maji yanakusaidia kuboresha mfumo wa mmeng'enyo na kusaidia utumbo kufanya kazi vizuri. hivyo
Kunywa maji ya kutosha asubuhi husaidia kusafisha njia ya utumbo na kusaidia kuzuia msongamano wa chakula.
Hii itakusaidia kupunguza shinikizo kwenye tumbo na kusaidia kupunguza dalili za vidonda vya tumbo kama vile maumivu na uvimbe.
*3: Kulainisha na kusaidia uponyaji wa vidonda vya tumbo:* Maji yanasaidia kulainisha mchakato wa kuponya vidonda vya tumbo.
Kwa kusaidia mwili kuwa na unyevunyevu wa kutosha, lakini pia maji yanakusaidia katika ujenzi wa seli mpya na tishu za tumbo na kuchochea uponyaji wa vidonda vya tumbo.
Hivyo basi Kama wewe unachangamoto ya vidonda vya tumbo Ni muhimu sana kwako kutumia maji asubuhi pindi tu utakapo amka
Na zaoezi hili linatakiwa kuwa endelevu mpaka pale utakapo pona kabisa changamoto yako
kama umefaidika na ujumbe huu ,
Usisahau kufolow ukurasa huu kuweza kuendelea kujifunza jinsi ya kutibu vidonda vya tumbo kwa kutumia njia asili bila madawa
.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kwa 0620165254
Hii ndiyo dawa ya vidonda vya tumbo
Jimmy health care - 12/05/2023
*IJUE DAWA YA STOMACHA ULCERS NA JINSI INAVYOWEZA KUTIBU CHANGAMOTO YA VIDONDA VYA TUMBO*
Stomach ulcers ni dawa ya asili ambayo imethibitishwa kutibu magonjwa ya vidonda vya tumbo,gesi na kiungulia KWA sababu imetengnezwa na madini & vitamins vingi vya asili na vyenye nguvu kuliko dawa yoyote ile kwenye soko.
Baadhi ya madini,vitamins na vilivyotumika kutengneza dawa hii niππ½ππ½ππ½ππ½
π ZINK
madini ya zink hutumika kuboresha tishu ambazo zimeharibika na bakteria wasababishao vidonda vya tumbo,pia zink huungana na acexamic acid ambayo hutumika kama dawa ya KUZUIA vidonda vya tumbo.
π VITAMIN C
hii hutumika kupunguza dalili za vidonda vya tumbo KWA sababu huzalisha saliva na ute kwenye tumbo ambao hutumika KUONDOA sumu na madhara ya bacteria wasababishao vidonda vya tumbo.
π VITAMIN B
Vitamin B huungana na pantothenic acid ambayo sasa hufanya vizuri zaidi KUZUIA ulcers
Pia huondoa Kasi ya kuzalishwaji wa acid tumboni KWA kutibu kiungulia kikali.
Nyongeza vitamin B pia ni mhimu katika kupunguza utokeaji na kuendlea KWA bacteria wasababishao vidonda vya tumbo na huleta nafuu haraka.
π VITAMIN E
hii ni Antioxidant ambazo ni imara zaidi kwenye KUONDOA tatizo la asidi tumboni ambazo pia hulinda mwili na maradhi mbalimbali.
πMAGNESIUM.
haya ni madini ambayo Yana umhimu Sana katika mwili wa binadamu Mara nyingi antiasidi huungana na magnesium na mchanganyiko huu huondoa acid,gesi na maumivu kifuani unapohisi chakula kimekwama.
π CALCIUM
calcium na carbonate na calcium citrate hutumika kama antiasidi KWA kupunguza kiungulia.
π Folic acid.
Kuwepo KWA folic acid huzalisha mucosa ambayo hupunguza gesi nyingi na maumivu pia hupelekea kutokea nafuu juu ya vidonda vya tumbo
Virutubisho vingne vilivyotengneza
*STOMACH ULCERS* ni kama madini ya chuma,copper,manganese,selenium,vitamin B6,B12, K,A,E zink,omega 3,6,9 pamoja na aina mbalimbali za viondoa sumu.
Vitu hivi vyote vinatokana na mimea asili kabisa na vimewekwa pamoja kitaalamu KWA uwiano maalumu kuhakikisha unapona na unaishi Maisha marefu yenye afya na furaha.
1- Stomach ulcers Inauwa Bacteria Wanaosababisha Vidonda Vya Tumbo, H.pylori.
2 Stomach ulcers inaweka Ulinzi Kwenye Kuta Za Tumbo Kuzuia Athari Za Asidi.
3 Stomach ulcers inaponesha Vidonda Aina Zote Na Hatua Zote.
4- Stomach ulcers jnaondoa Kiungulia Na Matatizo Yote Yaliyotokana Na Vidonda Vya Tumbo ikiwepo gesi.
5- Badaada Ya Muda Mfupi Wa Matibabu Unaweza Kula Vyakula Vyote Na Ukaendelea Na Shuguli Yako Za Kutafuta Riski.
6 Stomach ulcers huondoa shida ya mapigo ya moyo kwenda mbio na maumivu ya kifua
8 Ukitumia STOMACH ULCERS hutohisi kitu kubana Koo na tumbo kuwaka moto.
9 Ukitumia STOMACH ULCERS hutopata maumivu ya kiuno na mgongo.
10 Ukitumia STOMACH ULCERS mfumo wako wa mmeng'enyaji wa chakula utakuwa imara na utapata choo vzr.
*Gharama ya dawa hii ya STOMACH ULCERS NI 300,000*wahitaji dawa hii wasliana nami.
Usiruhusu ugonjwa wako ukupotezee muda, pesa nyingi na nguvu yako zaidi.
Chagua leo kutumia STOMACH ULCERS kuimarisha afya yako.
Naitwa Dr jimmy
No 0620165254.
Maoni
Chapisha Maoni