Fanya hivi kama hedhi inatoka nyingi



Itumie iliki kama hedhi imetoka nyingi au unapoteza damu nyingi wakati wa hedhi Iliki inakusaidia kukata hedhi iliyopitiliza na pia ni kiungo kizuri cha kurudisha madini ya Zinc na Iron yaliyopotea kutokana na utokwaji wa damu nyingi... Unaweza kutafuna majani yake mara kwa mara ni sawa ila walio wengi huwa tunapendelea kutia iliki kwenye chai (weka iliki ya kutosha wakati wa maandalizi ya chai yako) AU Unaweza kuandaa juisi ya matunda lita moja kisha utatia kijiko kikubwa kimoja cha unga wa iliki, utakunywa juisi yako mara kwa mara. Ukifanya hivi kwa siku tatu utayaona matokeo mazuri. Muhimu kumbuka kuwa • Mwanamke mwenye changamoto za homoni / hedhi ni muhimu kuacha matumizi ya sukari nyingi, vitu kama keki, ice cream, keki, soda n.k ni vitu ambavyo hupaswi kuviendekeza maana huvuruga zaidi mpangilio wa homoni • Punguza au Ikibidi achana na matumizi ya nafaka za kukobolewa mfano sembe, wali mweupe na ngano nyeupe, sio rafiki kwa wenye changamoto hizi za homoni / hedhi • Kuhusu pombe na vilevi hivyo kila mmoja anafahamu kuwa si rafiki wa afya kwa ujumla... Tumia kiasi au Acha maana hutopungukiwa na chochote usipolewa MAMBO YA KUZINGATIA ZAIDI • Tumia kwa wingi nafaka zisizokobolewa ugali wa dona, wali wa brown, ngano isiyokobolewa, viazi vitamu, mihogo, n.k Ili kubalansi homoni za uzazi kwa wingi zaidi tunahitaji sana vyakula vyenye Omega 3, Folic, Vitamin C, Faiba na Vitamins kwa wingi zaidi ambapo orodha hii ya vyakula ni pamoja na kula vyakula vya baharini kama samaki wabichi, karoti, parachichi, mboga za majani aina zote, papai, mafuta ya zeituni, maharage ya soya, walnuts, mafuta ya nazi, matunda aina zote, mayai ya kienyeji, maziwa, broccoli, mrehani, mdalasini, iliki, tangawizi, mchemsho wa ndizi na nyama / kongoro, n.k Nimekupa orodha, wewe utaamua utavyoweza kupangilia kulingana na jinsi ambavyo utaweza kumudu Kwa mfano unaweza kupangilia hivi •Asubuhi ukiamka, unakunywa nusu lita ya maji (unaweza kamulia limao) kabla hujapiga hata mswaki [Faida zake unaweza kuuliza-Google kwa muda wako] Muda wa kifungua kinywa, ukaandaa mchemsho wa ndizi au ukaanda supu ya nyama ✓ Au unaweza kuandaa chai ya mchanganyiko wa tangawizi, iliki, mdalasini, tangawizi, mchaichai n.k ✓ na kitafunwa unaweza kuwa na viazi au mihogo ya kuchemsha, mkate wa brown, karanga, mbegu za maboga, kashata au chochote ambacho utakipata muhimu kisiwe cha kukobolewa au kutengenezwa kwa sukari nyingi Au unaweza kuandaa tu mchanganyiko wa matunda kama mlo wako wa asubuhi ✓ • Mchana, lunch yako ukaandaa ugali dona, mboga ikawa nyama au samaki, pembeni iwepo mboga ya majani na tunda au juisi ya matunda au uwepo mchanganyiko wa matunda / salad / kachumbari ya maana Jioni, unaweza kula kiasi kidogo cha nafaka ila usikose mboga ya majani au tunda pembeni na kabla hujalala, irudie chai yako ya viungo Binafsi kabla sijalala napendelea kunywa chai ya maziwa fresh na natia vijiko kadhaa vya asali na kijiko kidogo cha mdalasini, inasaidia kuleta usingizi mwololo Afya ni vile tu unavyoamua kula na juhudi yako katika mlo ndio itakuwezesha kuwahi kuona matokeo Endelea kujifunza na kuzingatia, matokeo mazuri yapo . . . . Jws clinic tunaendelea kukushika mkono wewe mwenye matatizo ya magonjwa ya uzazi kama Fangasi, P.I.D sugu, Mirija Kuziba, Vivimbe katika kizazi, Kukosa Ujauzito, Mwanaume kuwa na matatizo ya uzazi n.k Kama kuna changamoto ya uzazi na hujafahamu uitatue vipi basi tuandikie changamoto hiyo kwenda WhatsApp namba 0620165254 elimu hii unapewa bure kabisa Kwa wanawake wenye changamoto za uzazi, ipo product pendwa chai dada 350,000 ambayo inasafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi na kuondoa uchafu na maambukizi ya bakteria / fangasi (P.I.D) ... Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids & ovarian cysts) . Inaondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kama unapata tatizo la kukosa hisia, kuwa mkavu ukeni wakati wa tendo, hedhi kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, hedhi kutoka mabonge, hedhi kuambatana na maumivu makali (chango) na inakusaidia kupevusha mayai siku za ovulation Kwa mawasiliano zaidi kuhusu dawa na afya ya uzazi PIGA SIMU / WhatsApp 0620165254 Dawa za wanaume wenye changamoto za uzazi pia zipo na Dozi Yake ni Tsh 250,000

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.