Jali mwili wako
JALI SEHEMU YA MWILI WAKO:* 1. *TUMBO* hujeruhiwa wakati huna kifungua kinywa asubuhi. 2. *FIGO* hujeruhiwa wakati hunywi hata glasi 10 za maji ndani ya masaa 24. 3. *KITUNZA NYONGO* hujeruhiwa wakati ambao hulali hadi saa 11 na hauamki mapema. 4. *UTUMBO MDOGO* hujeruhiwa unapokula chakula baridi na kichakavu. 5. *UTUMBO MKUBWA* hujeruhiwa unapokula vyakula vya kukaanga na vikali zaidi. 6. *MAPAFU* hujeruhiwa unapovuta moshi wa sigara na kukaa katika mazingira machafu ya sigara. 7. *INI* hujeruhiwa unapokula vyakula vya kukaanga, vyenye kemikali (vikali). 8. *MOYO* hujeruhiwa unapokula mlo wako kwa chumvi na kolesteroli nyingi zaidi(mafuta ambayo siyo mazuri yanayoganda). 9. *KONGOSHO* huumia unapokula vitu vitamu kwa sababu ni vitamu kwenye kongosho pia hupatikana sukari. 10. *Macho* hujeruhiwa unapofanya kazi kwenye mwanga wa simu ya mkononi na skrini ya kompyuta gizani. 11. *Ubongo* unaumia unapoanza kuwaza mawazo hasi *Sehemu hizi hazipatikani Sokoni. Zinapatikana mwilini kwet*
Maoni
Chapisha Maoni