KUKOJOA baada ya sex
*BAADA YA MECHI ZA WAKUBWA, NI MUHIMU MKAKOJOE*
...tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa.
Wanawake wengi huwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu na uchovu ujikuta katika usingizi mzito na kusahau baada ya kufika kileleni.
Kukojoa baada ya tendo hupunguza na kuzuia uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya njia ya mkojo (U.T.I) na magonjwa ya zinaa (S.T.I)
Unachopaswa kufahamu ni kuwa tendo la ndoa huongeza presha kwenye kibofu na kusababisha hamu ya kukojoa kila baada ya tendo hali inayokuwezesha kuondoa vimelea vya magonjwa mbali mbali kabla ya kusambaa kwenye kibofu na sehemu nyingine za mwili kusababisha matatizo makubwa. Kwa wanaotumia condom pia unashauriwa kufanya hivo endapo itapasuka sambamba na kusafisha sehemu za uke na uume kwa maji safi.
Kwa wanaofanya mapenzi kwa mdomo (wale wazima chumvini, wenyewe mnajiita wlamba koni) unashauriwa kutoingiza shahawa, maji maji ya uke / u*me na damu mdomoni kwani kuna hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukimwi na hepatitis B (homa ya ini)
Kama umejifunza kitu basi SHARE na wengine wajifunze
Kama kuna changamoto ya uzazi na hujafahamu uitatue vipi basi tuandikie changamoto hiyo kwenda WhatsApp namba 0620165254
Kwa wanawake wenye changamoto za uzazi, ipo product pendwa CHAI DADA
ambayo inasafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi na kuondoa uchafu na maambukizi ya bakteria / fangasi (P.I.D)
... Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids & ovarian cysts)
. Inaondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kama unapata tatizo la kukosa hisia, kuwa mkavu ukeni wakati wa tendo, hedhi kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, hedhi kutoka mabonge, hedhi kuambatana na maumivu makali (chango) na inakusaidia kupevusha mayai siku za ovulation
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirLgdkL3hg28pd_XfStcH9158Wz1KSrOYLlHsJkFddP0Ywo2PGh_7_3xu9RrvJRwW380-K3JAwAj38mqC-uFFERfpZCiiSfFO6i_tz41jVm5DjOloTPlvCy7Lgr_OaHRiC4_BdeewCegnf/s1600/IMG_ORG_1698027871100.jpeg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirLgdkL3hg28pd_XfStcH9158Wz1KSrOYLlHsJkFddP0Ywo2PGh_7_3xu9RrvJRwW380-K3JAwAj38mqC-uFFERfpZCiiSfFO6i_tz41jVm5DjOloTPlvCy7Lgr_OaHRiC4_BdeewCegnf/s1600/IMG_ORG_1698027871100.jpeg)
Hakuna gharama ya usafirishaji, yaani ni free delivery mpaka ulipo
Kwa mawasiliano zaidi kuhusu dawa na afya ya uzazi
PIGA SIMU / WhatsApp 0620165254
Dawa za wanaume wenye changamoto za uzazi pia zipo na Dozi Yake ni Tsh 250,000
Health consultation
Tunajali afya yako
Maoni
Chapisha Maoni