Madhara ya kunywa energy

UNAKUNYWA SANA ENERGY? HAYA HAPA MADHARA YAKE

NB: Hili somo ni ushauri, siyo sheria ya kukuzuia usitumie, jali afya yako, madhara huja kwa kuchelewa

Matumizi ya mara kwa mara ya Energy yana madhara kwa baadae, tunakutajia madhara 11:

1. Kiwango cha mapigo ya moyo huongezeka
2. Kiwango cha msongo wa kuwaza na uoga huongezeka
3. Tumbo kuuma
4. Ni rahisi mno kupata matatizo ya moyo
5. Unapokunywa energy kila mara hauna tofauti na anayevuta sigara, wote mna madhara ya baadae
6. Maumivu ya kichwa
7. Kukosa choo
8. Kukosa usingizi
9. Huweza kusababisha ugumu kwa mwanaume kuzalisha/kumpa mwanamke ujauzito
10. Kiwango cha sukari huongezeka kwenye damu
11. Kifo cha ghafla

Fuata ushauri tuliouandika mwanzo wa makala hii

Man power  NI NINI KWA WANAUME
➖Ni dawa ya asili kwa ajili ya wanaume
➖Waliopitia mchezo wa kujichua
➖Wanaokosa hamu ya tendo
➖Ambao mzee anasimama kwa ulegelege
➖Dozi yake ni wiki 4
➖Inaandaliwa @jws clinic, bei ni 250,000

NB: Mkoa wowote tunatuma

Simu: 0620165254

Health consultation
Tunajali afya yako


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.