Maumivu ya mgongo baada ya kujifungua
MAUMIVU MAKALI YA MGONGO BAADA YA KUJIFUNGUA:
~ Chuma majani ya mti wa mnyonyo kisha yaponde na uyachemshe nusu saa, chukua kitambaa mkande mgonjwa kabla hayajapoa, mgonjwa akandwe asubuhi na jioni pia, kwa siku 3 hadi 7 maumivu huisha kabisa.
Anza leo kufuata mwongozo wa vyakula na tiba asili za kutatua changamoto za uzazi
Msaada zaidi
Piga / WhatsApp 0620165254
Maoni
Chapisha Maoni