Maziwa na vidonda vya tumbo
Moja kati ya imani ambayo watu wengi tulionayo...huwenda kwa kuamini sisi wenyewe au kwa kuaminishwa na baadhi ya watu
Ni kuwa maziwa yanasaidia kutibu vidonda vya tumbo
Habari njema ni kwamba hata wewe unaweza ukawa ni shahidi juu ya hili kwasababu ulishawahi kutumia ukapata nafuu
Ila usichokijua ni kwamba tafiti hizi ni tafiti za nyuma sana
kwa tafiti za hivi karibuni imethibitika kuwa maziwa maziwa hayatibu vidonda vya tumbo
Bali maziwa huleta nafuu ya muda tu kwa mgonjwa kwasababu
Maziwa huenda kufunika vidonda na utamdo wa tumbo ndio maana mgonjwa hupata nafuu kwa muda
Licha ya habari nzuri kuna habari mbaya
Ambayo itakufanya uache kabisa kutumia maziwa na uyaone kama ni adui kwako
Habari mbaya ni kwamba imethibitika kuwa maziwa huchochea uzalishwaji wa acid nyingi tumboni
Na kupelekea hali ya vidonda kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo kuwa mbaya zaidi au dalili kuwa mbaya zaidi
Na hii hutokea baada ya utando uliofunika vidonda ndani ya tumbo kuondolewa kwa kukwanguliwa kutokana na acid iliyozalishwa
matokeo yake hupelekea vidonda vya tumbo kuwa vikubwa
Na mabya zaidi unaweza kujikuta unatoboka utumbo au kupata kansa ya utumbo bila wewe kujua
Ushauri wangu kwako wewe unaehangaika na changamoto hii kwa muda mrefu
ugonjwa huu si wakuufumbia macho
Kama hauta uchukulia kwa ukubwa madhara yake ni makubwa sana maana hupelekea mpaka kifo
by the way kama umechoshwa na chongamoto yako na
utapenda tukushike mkono
Hatua kwa hatua kuweza Kuitokomeza changamoto yako moja kwa moja basi na habari njema kwajili yako
Habari njema ni kwamba siku ya leo natoa nafasi ya upendeleo kwa watu 3 tu ambao wamechoshwa na changamoto zao
Na wapo serious na wanahitaji kutatuliwa changamoto yao moja kwa moja bila kujirudia
Kama wewe ni mmoja wao na utapenda kupata nafasii hii leo,
Nitumie ujumbe wa neno *VIDONDA* sasahivi kwenda namba 0620165254
Maoni
Chapisha Maoni