Mwanaume,kama mambo ya chumbani hayapo sawa

Kijana unayehisi mambo ya chumbani hayaendi vizuri, tafuta Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja, Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], Unga wa msamitu vijiko nane, Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.

Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.

Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari.

Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6, itakuwa tayari kwa matumizi

MATUMIZI:
Utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala

Nikukumbushe kwamba hii tiba yako ni kwa ajili ya changamoto zako zote za kukosa nguuuvu za kiume
Kuanzia kwenye kuongeza wingi na ubora wa manii, kuondoa athari zilizotokana na upigaji punyeto na kuongeza kiwango cha msisimko wa tendo la ndoa.

Unaweza kutumia Tiba Asili ambayo tumekuandalia Tayari iitwayo man power

Ni ya kunywa, unatumia vijiko vitatu asubuhi na vijiko vitatu usiku

Dozi unaipata kwa Tsh 250,000 tu (Unaletewa bure / free delivery popote ulipo

Unaitumia kwa siku 25 na kumaliza kabisa tatizo la ngu*vu za kiume

Mafuta ya Kunyoosha Uume unapata Bure Ukitaka

Wasiliana nasi kwa Kupiga Simu / WhatsApp 0620165254

Nikutakie mafanikio katika kuijenga Afya na Furaha Ya Ndoa.

Health consultation
Tunajali afya yako


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Jinsi mmea huu inavyotibu vidonda vya tumbo.

Ongeza nguvu za kiume

Fanya hivi nguvu zako za kiume.