Nguvu za kiume
*Kila matokeo huwa na chanzo, unataka kuwa imara kama mwanaume ukiwa faragha?*
Basi jijengee utaratibu wa kutenga walau dakika tano hadi kumi, imarisha mifupa na misuli ya nyonga yako
Ishi kama mwanaume
Wanaume tunaotaka kujiweka vyema kwenye tendo la ndoa,
tafuta Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja, Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], Unga wa msamitu vijiko nane, Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.
Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.
Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari.
Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6, itakuwa tayari kwa matumizi
MATUMIZI:
Utakuwa ukilamba/kulala vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala
Nikukumbushe kwamba hii tiba yako ni kwa ajili ya changamoto zako zote za kukosa nguuuvu za kiume
Kuanzia kwenye kuongeza wingi na ubora wa manii, kuondoa athari zilizotokana na upigaji punyeto na kuongeza kiwango cha msisimko wa tendo la ndoa.
Unaweza kutumia Tiba Asili ambayo tumekuandalia Tayari iitwayo man power
Dozi unaipata kwa Tsh 250,000 tu (Unaletewa bure / free delivery popote ulipo
Unaitumia kwa siku 30 na kumaliza kabisa tatizo la ngu*vu za kiume
Wasiliana nasi kwa Kupiga Simu / WhatsApp 0620165254
Nikutakie mafanikio katika kuijenga Afya na Furaha Ya Ndoa.
Health consultation
Tunajali afya yako
Maoni
Chapisha Maoni