Tiba ya vidonda vya tumbo
Je unafahamu Kwamba ukiruhusu kupona kwa njia ya asili na salama ni suluhisho la afya bila madhara ya dawa za kemikali?
.
Kwa kulifahamu Hilo
.
Leo nimeamua kukuletea njia ya kipekee itakayo kusaidia kutibu kiungulia na vidonda vya tumbo bila madhara
.
Ili uweze kutumia njia hiyo unatakiwa uwe na vitu vifuatavyo nyumbani kwako
.
✓kabeji 1
✓karoti 3
✓maji kikombe 1
✓Asali mbichi (sio lazima Ila ukipata ni nzuri zaidi)
ππΎJinsi ya kuandaa tiba yako
-Chukua kabeji yako iloweke ndani ya maji kwa muda wa nusu saa
- Kisha likate vipande 4 , chukua kipande kimoja katakata dezaini kama unataka kuipika, kisha weka kwenye Brenda
-Chukua karoti zako 3 zikatekate vipande vidogo vidogo, kisha weka kwenye brenda
- weka maji yako kikombe kimoja/ glasi moja, kisha saga
ππΎJinsi ya kutumia tiba hii
√Tumia glasi moja asubuhi nusu saa kabla ya kupata kifungua kinywa
√Na jioni nusu saa kabla ya kupata chakula cha usiku
√Tumia ndani ya siku 7 mfululizo...
.
Njia hii sio njia ya moja kwa moja ya kutibu kiungulia na vidonda vya tumbo bali itakusaidi kwa muda na kupunguza athari zake
.
Je ungependa kupata njia itakayokusaidia kutibu na kutokomeza kabisa changamoto yako moja kwa moja na isijirudie tena?
.
Kama jibu ni ndio
.
Piga kwenda namba 0620165254 ili kupata msaada wa karibu zaidi
.
Kama umefaidika na ujumbe huu usisahau kulike na kufollow ukurasa huu ili uendelee kujifunza
.
Lakini pia kushare ili na wengine nao wajifunze
Hii ndiyo dawa ya vidonda vya tumbo
Jimmy health care - 12/05/2023
*IJUE DAWA YA STOMACHA ULCERS NA JINSI INAVYOWEZA KUTIBU CHANGAMOTO YA VIDONDA VYA TUMBO*
Stomach ulcers ni dawa ya asili ambayo imethibitishwa kutibu magonjwa ya vidonda vya tumbo,gesi na kiungulia KWA sababu imetengnezwa na madini & vitamins vingi vya asili na vyenye nguvu kuliko dawa yoyote ile kwenye soko.
Baadhi ya madini,vitamins na vilivyotumika kutengneza dawa hii niππ½ππ½ππ½ππ½
π ZINK
madini ya zink hutumika kuboresha tishu ambazo zimeharibika na bakteria wasababishao vidonda vya tumbo,pia zink huungana na acexamic acid ambayo hutumika kama dawa ya KUZUIA vidonda vya tumbo.
π VITAMIN C
hii hutumika kupunguza dalili za vidonda vya tumbo KWA sababu huzalisha saliva na ute kwenye tumbo ambao hutumika KUONDOA sumu na madhara ya bacteria wasababishao vidonda vya tumbo.
π VITAMIN B
Vitamin B huungana na pantothenic acid ambayo sasa hufanya vizuri zaidi KUZUIA ulcers
Pia huondoa Kasi ya kuzalishwaji wa acid tumboni KWA kutibu kiungulia kikali.
Nyongeza vitamin B pia ni mhimu katika kupunguza utokeaji na kuendlea KWA bacteria wasababishao vidonda vya tumbo na huleta nafuu haraka.
π VITAMIN E
hii ni Antioxidant ambazo ni imara zaidi kwenye KUONDOA tatizo la asidi tumboni ambazo pia hulinda mwili na maradhi mbalimbali.
πMAGNESIUM.
haya ni madini ambayo Yana umhimu Sana katika mwili wa binadamu Mara nyingi antiasidi huungana na magnesium na mchanganyiko huu huondoa acid,gesi na maumivu kifuani unapohisi chakula kimekwama.
π CALCIUM
calcium na carbonate na calcium citrate hutumika kama antiasidi KWA kupunguza kiungulia.
π Folic acid.
Kuwepo KWA folic acid huzalisha mucosa ambayo hupunguza gesi nyingi na maumivu pia hupelekea kutokea nafuu juu ya vidonda vya tumbo
Virutubisho vingne vilivyotengneza
*STOMACH ULCERS* ni kama madini ya chuma,copper,manganese,selenium,vitamin B6,B12, K,A,E zink,omega 3,6,9 pamoja na aina mbalimbali za viondoa sumu.
Vitu hivi vyote vinatokana na mimea asili kabisa na vimewekwa pamoja kitaalamu KWA uwiano maalumu kuhakikisha unapona na unaishi Maisha marefu yenye afya na furaha.
1- Stomach ulcers Inauwa Bacteria Wanaosababisha Vidonda Vya Tumbo, H.pylori.
2 Stomach ulcers inaweka Ulinzi Kwenye Kuta Za Tumbo Kuzuia Athari Za Asidi.
3 Stomach ulcers inaponesha Vidonda Aina Zote Na Hatua Zote.
4- Stomach ulcers jnaondoa Kiungulia Na Matatizo Yote Yaliyotokana Na Vidonda Vya Tumbo ikiwepo gesi.
5- Badaada Ya Muda Mfupi Wa Matibabu Unaweza Kula Vyakula Vyote Na Ukaendelea Na Shuguli Yako Za Kutafuta Riski.
6 Stomach ulcers huondoa shida ya mapigo ya moyo kwenda mbio na maumivu ya kifua
8 Ukitumia STOMACH ULCERS hutohisi kitu kubana Koo na tumbo kuwaka moto.
9 Ukitumia STOMACH ULCERS hutopata maumivu ya kiuno na mgongo.
10 Ukitumia STOMACH ULCERS mfumo wako wa mmeng'enyaji wa chakula utakuwa imara na utapata choo vzr.
*Gharama ya dawa hii ya STOMACH ULCERS NI 300,000*wahitaji dawa hii wasliana nami.
Usiruhusu ugonjwa wako ukupotezee muda, pesa nyingi na nguvu yako zaidi.
Chagua leo kutumia STOMACH ULCERS kuimarisha afya yako.
Naitwa Dr jimmy
No 0620165254.
Maoni
Chapisha Maoni