Unafklia hivi?
Sio kama unavyofikiria...
.
Kitendo cha kunywa maji hivi sasa kinaonekana ni kazi rahisi ambayo haihitaji umakini
.
Usichokijua ni kwamba tafiti za hivi karibuni zinaonesha kuwa
.
jinsi unavokunywa maji na wakati unaokunywa maji inaathari ya moja kwa moja kwenye mwili wako
hivyo ni muhimu Kufahamu vipi unatakiwa kunywa maji kwa usahihi
.
Kupitia nakala hii nitakuonesha kanuni 4 muhimu ambazo unatakiwa Kuzingatia wakati unakunywa maji yako ili uweze kunywa maji kwa usahihi na kuona faida zake
.
KANUNI YA KWANZA : Kaa wakati unakunywa maji
.
Kunywa maji wakati umesimama kunaharibu usawa wa maji ya mwili.
Unaweza kukusanya maji ya ziada yasiyohitajika katika mwili wako ikiwa utakunywa wakati umesimama
Jambo ambalo linaweza kukusababishia ugonjwa wa Maumivu ya viungo yani (athratis).
Kibaya zaidi huathiri usagaji chakula na ufyonzwaji wa madini jambo ambalo husababisha matatizo mengine pia.
.
KANUNI YA PILI : Kunywa pole pole
.
Kwa maana kuwa unatakiwa kunywa maji kwa awamu kidogo kidogo na sio mfululliizo
.
Kunywa maji kwa awamu huruhusu mwili kuchakata, kuvunjavuja na kuyeyesha virutubisho na madini vizuri.
Pia hufanya iwe rahisi kwa figo zetu kufanya kazi yake kwa ufanisi zaidi kama kuonndoa taka na vimimiini vote zisizohitajika
.
KANUNI YA TATU: Anza siku yako na glasi ya maji ya kuchemsha (uvuguvugu)
.
Kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi kwani husaidia kuondoa sumu ambazo zimejikusanya usiku kucha
.
na kusafisha njia yako ya usagaji chakula ili kukuweka tayari kwa siku!
.
KANUNI YA NNE : Epuka maji wakati wa kula chakula
Tafiti za kisayansi zinapendekeza kwamba mtu haipaswi kunywa maji wakati wa kula chakula.
.
Unaweza kunywa kiasi kikubwa cha maji angalau saa moja kabla na baada ya kula chakula lakini si wakati wa chakula.
Kunywa maji mengi karibu na nyakati za mlo wako kunaweza kupunguza asidi ya usagaji chakula na kuharibu usagaji sahihi wa vyakula.
.
Ikiwa ni lazima unywe basi unaweza kunywa fundo moja au mbili zaidi wakati wa chakula chako.
.
Muhimu : ili uweze kuona matokeo katika afya yako hakikisha unafanyia kazi kwanzia sasa
.
Kama umefaidika na ujumbe huu tafadhari usisahau kushare na kwa wengine ili nao waweze kunufaika kupitia wewe
Karibu upate dawa za uhakika na Bora za
.π vidonda vya tumbo na acid
π Bawasiri
Nguvu za kiume
π Presha na kisukari
π Uric acid,ngiri,Tezi dume na stroke
πmasuala Yate ya uzazi wa mwanamke
πTonses,miguu kuvimba,aleji n.k
Health consultation
Maoni
Chapisha Maoni