Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2023

Usiendlee kuteseka na acid

Picha
Tunazidi kuwapongeza wale wanaozidi kutupa mirejesho na wanaoamini huduma zetu nikukumbushe tu hiyo changamoto unayoteseka nayo inapona kabisa mama huyu ameteseka na asidi iliyompelekea kuwa na *Tumbo kuuma sana,kiungulia kikali,maumivu ya Koo na kabakaba,kutapika mara Kwa mara,kifua kuwa kizito,kucheua* Alitumia Kila aina ya dawa ila hakubahatika kipona alifkia hali ya kukata tamaa,alichkua dawa Kwa kujaribu lakini baada ya kutumia stomach acid Leo yupo vzr anaendlea na majukumu yake. "Huenda wewe hulali shida acid Gesi na kiungulia shida acid Kutapika sana shida acid Maumivu ya tumbo kama linawaka moto,kifua kubana n.k shida acid Ucjali tumia dawa yetu iitwayo stomach acid inapatikana Kwa Bei nafuu sana kama wateseka tuwasliane Kwa 0620165254

Kutokwa uchafu ukeni

Picha
𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗔 𝗨𝗖𝗛𝗔𝗙𝗨 𝗨𝗞𝗘𝗡𝗜 Na Dr jimmy 0620165254 ↘️Cytolytic Vaginosis Ni Nini? Mwanamke Kutoka Uchafu Mweupe Ukeni Ni Tatizo Gani?Kutoka uchafu ukeni ni moja ya matatizo yanayowasumbua sana wanawake. Uchafu huu unaweza kutoka kwa sababu nyingi, sababu zinazoonekana zaidi zikiwa ni yeast, trichomoniasis na bacterial vaginosis. Katika mada yetu ya leo tutalijadili moja la matatizo haya ambalo linasababisha mwanamke kutokwa uchafu mweupe unaoambatana na miwasho sehemu za siri ambalo kiutaalamu huitwa cytolytic vaginosis.. ↘️Kimaumbile uke wa mwanamke ulio katika hali yake nzuri una aina nyingi sana za bakteria na idadi ndogo ya fungus wanaoishi ndani yake. Katika viumbe hawa wadogo wapo ambao ni rafiki na wengine ni wabaya kwa afya ya mwanamke. Bakteria rafiki hufanya kazi ya kuwadhibiti wale wabaya. Bakteria mmoja anayejulikana sana ni lactobacillus acidophilus ambaye anafanya kazi ya kuwaweka viumbe wengine pamoja na fungus kwenye idadi ina...

Uke kulegea

Picha
𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗟𝗔 𝗨𝗖𝗛𝗜 𝗞𝗨𝗟𝗘𝗚𝗘𝗔 , 𝗡𝗜 𝗡𝗜𝗡𝗜 𝗧𝗜𝗕𝗔? Na Dr jimmy 0620165254 ↘️Jee, wewe ni mmojawapo wa wale wanawake wanaohisi kuwa na tatizo la uchi kulegea? Haupo peke yako, wanawake wengi wanatatizwa na jambo hili, wanaweza kuwa wameambiwa jambo hili na wapenzi wao au wao wenyewe walijaribu kujipima kwa kujiingiza vidole kwenye sehemu hizo za siri. Katika makala hii natumia neno uchi, nikimaanisha sehemu nyeti ya mwanamke ambayo hutumika wakati wa kufanya mapenzi, kupitisha damu chafu wakati wa siku za hedhi na kupitisha mtoto wakati anapozaliwa. Nalitumia neno hilo kukudhi haja ya wengi waliolizoea. Maneno mengine ambayo yamezoeleka kuelezea tatizo hilo ni uchi mpana, uchi mkubwa na mengineyo. ↘️Dalili Za Uchi Kulegea   ↘️ Kabla ya yote tutazame uchi huu ulivyoumbwa. Uchi ni kama uchi kulegea kijimfuko kirefu kilichozungukwa na misuli ambacho kwa ndani kimezungukwa na utando laini unaovutika wenye unyevunyevu unaosaidia kupunguza msuguano n...

Namna ya kukabili stress

Picha
𝗠𝗙𝗔𝗗𝗛𝗔𝗜𝗞𝗢 𝗪𝗔 𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜 (𝗗𝗘𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦𝗜𝗢𝗡) 𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜  𝗡𝗔 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗙𝗔𝗗𝗛𝗔𝗜𝗞𝗢, 𝗡𝗔𝗠𝗡𝗔 𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗡𝗗𝗢𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗙𝗔𝗗𝗛𝗔𝗜𝗞𝗢 𝗪𝗔 𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜 Na Dr jimmy 0620165254 ↘️ Maana Ya Mfadhaiko Wa Akili (Depression)   ↘️ Kila mmoja wetu ameshapata kuwa na huzuni wakati fulani, ni kitu cha kawaida kinachotokea wakati umepotelewa na kitu, kutokana na mihangaiko ya maisha au kutokana na kudharauiliwa. Huzuni ikizidi na ikienda kwa siku nyingi mfululizo (wiki mbili au zaidi) na ikiambatana na hali ya kujiona kuwa si wa thamani tena, kwamba ni mtu usiye na msaada wo wote – basi hii inaweza kuwa ni zaidi ya huzuni. Unaweza kuwa umepata tatizo la kiafya – mfadhaiko, ugonjwa ambao kwa bahati nzuri una tiba. Mfadhaiko ni ugonjwa unasababisha mtu kuwa na huzuni kila wakati na kukosa hamu ya kufanya vitu au kutenda yale aliyopenda sana kufanya zamani. Mfadhaiko ni ugonjwa unaoathiri namna mtu anavyojisikia, anavyofikiri na tabia yake. ↘️ Ch...

U.t.i hupelekea kushindwa kubeba mimba

Picha
𝟭.𝗝𝗘 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗨𝗚𝗨𝗔 𝗨𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗨.𝗧.𝗜 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗗𝗢 𝗟𝗔 𝗡𝗗𝗢𝗔. Na Dr jimmy 0620165254 𝟮. 𝗝𝗘 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗨𝗚𝗨𝗔 𝗨𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗨.𝗧.𝗜 𝗞𝗨𝗣𝗜𝗧𝗜𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗠𝗗𝗢𝗠𝗢. 𝟯. 𝗝𝗘 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗨𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗨.𝗧.𝗜 𝗨𝗦𝗜𝗣𝗢𝗧𝗜𝗕𝗜𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗛𝗨𝗣𝗘𝗟𝗘𝗞𝗘𝗔 𝗨𝗪𝗘𝗭𝗔𝗞𝗔𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗞𝗨𝗭𝗔𝗟𝗜𝗪𝗔 𝗞𝗔𝗕𝗟𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜, 🥰UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na watu wazima. UTI ni kifupisho cha Urinary Tract Infection. Huu ni ugonjwa ambao hushambulia figo (kidneys); ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo, kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili. Kwa kifupu ugonjwa wa UTI hushambulia viungo vinavyohusika katika kupitisha mkojo kabla haujatoka nje ya mwili. Maambukizi mengi zaidi huonekana kwenye sehemu ya chini ya mkondo wa ...

Acid hupelekea saratani ya Koo.

Picha
FAHAMU SARATANI HATARI YA UMIO(OESOPHAGITIS) na Dr jimmy 0620165254 Esophagitis ni kuvimba kwa safu ya umio ambayo inaweza kudhuru tishu za mwili pia. Umio ni wajibu wa kubeba chakula kutoka mdomoni hadi tumboni. Usumbufu wa kifua na uchungu, kumeza ngumu (dysphagia) ni baadhi ya dalili za esophagitis. Esophagitis inaweza kuletwa na reflux ya gastroesophageal (GERD), maambukizi, dawa za kumeza, na mizio. Matibabu ya esophagitis inategemea sababu ya msingi na kiasi cha uharibifu wa tishu. Inaweza kudhuru utando wa umio na kuizuia kusafirisha chakula na vimiminika kutoka mdomoni hadi kwenye tumbo ikiwa haitatibiwa.   Aina za Esophagitis🛑 Aina za Esophagitis ni pamoja na: ∆Eosinophilic esophagitisReflux ∆ esophagitisEsophagitis inayosababishwa na madawa ya kulevya ∆Esophagitis ya kuambukiza DALILI ZA ESOPHAGITIS 🚫 Dalili za esophagitis ni pamoja na: 🔺pumzi yenye harufu mbaya, 🔺Hisia ya chakula kukwama wakati wa kumeza 🔺 kumeza kwa uchungu 🔺Maumivu katikati ya kifua 🔺Ladha isiyo...

Uhusiano wa vidonda vya tumbo na acid

Picha
*UHUSIANO ULIOPO KATI YA ACID REFLUX NA VIDONDA VYA TUMBO(PEPTIC ULCERS)* Na Dr jimmy 0620165254 ⚫ Kuna uhusiano wa karibu kati ya acid reflux  na vidonda vya tumbo. Kwa kawaida, tumbo lina kinga ya asili dhidi ya tindikali yake, lakini wakati mchakato huu wa kinga unapoporomoka, tindikali inaweza kusababisha uharibifu kwenye ukuta wa tumbo na kusababisha vidonda. ⚫ Acid reflux inaweza kusababisha vidonda vya tumbo kwa njia zifuatazo:⤵️ 1.🖇️ *Kuharibu kinga ya tumbo:* Tindikali ya ziada inayorejea kutoka kwenye tumbo inaweza kuharibu kinga ya asili iliyopo kwenye ukuta wa tumbo. Hii inaweza kusababisha upungufu wa mchakato wa ulinzi wa ukuta wa tumbo dhidi ya tindikali. 2.🖇️ *Kuchochea uchochezi:* Acid reflux inaweza kusababisha uchochezi wa ukuta wa tumbo, ambao unaweza kusababisha uvimbe na maumivu. Uvimbe huu unaweza kusababisha vidonda vya tumbo. 3.🖇️ *Kupunguza mtiririko wa damu:* Acid reflux inaweza kusababisha kusinyaa kwa mishipa ya damu inayotumika kusambaza damu kwenye...

Faida za sex

Picha
𝗭𝗜𝗝𝗨𝗘 𝗙𝗔𝗜𝗗𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 (𝗧𝗘𝗡𝗗𝗢 𝗟𝗔 𝗡𝗗𝗢𝗔) 𝗪𝗘𝗪𝗘 𝗨𝗟𝗜𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔𝗞𝗢: ↘️ Baadhi ya tafiti zimeonyesha kuwa kufanya mapenzi kunaweza kuwa na faida katika kuinua ustawi na afya ya mwili ya mtu. Unaweza kuzipata faida hizi kwa kufanya mapenzi na tendo la ndoa  na mwenzi wako. Hata matendo madogo madogo, kama kushikana mikono au kukumbatiana yanaweza kuboresha utendaji kazi wa ubongo wako. Kwa kifupi, kufanya mapenzi kunaboresha namna tunavyojisikia, mahusiano, afya ya ubongo na mwili. ↘️ Asubuhi ni muda mwafaka wa kufanya tendo la ndoa kwa sababu mwili huwa tayari kwa tendo hilo. Hii ni kwa sababu viwango vya homoni za estrogen na testosterone katika mwili huwa juu kabisa. Utafiti wa 2013 ulionyesha kuwa hamu ya kufanya tendo la ndoa huongezeka kulingana na viwango vya homoni hizi katika mwili  -na viwango vinapokuwa juu zaidi ndivyo starehe ya tendo hilo inavyoongezeka. Tendo la ndoa likifanywa asubuhi linakufanya uwe k...

Unatafuta ujauzito tumia bamia

Picha
𝗙𝗔𝗜𝗗𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗕𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 Na Dr jimmy 0620165254 ↘️Bamia ni katika matunda ambayo ni mboga na karibia maeneo mengi mboga hii inapatikana. Bamia ni katika mboga muhimu sana kwani ina faida nyingi sana. ↘️ Ndani ya bamia kuna vitamin, madini na kambakamba. Bamia hutumiwa kuanzia majani, mbegu, bamia lenyewe , maua, kikonyo na matawi. Kwa ufupi mbamia wote ni mboga na huliwa. ↘️ Ndani ya bamia kuna fiber (kambakamba), folate, vitamin K na madini. Bamia husaidia katika kuboresha na kuimarisha afya ya moyo pia hulinda mwili dhini ya saratani. Jitahidi ukinunua bamia lisikae zaidi ya siku tatu ama nne. Madini ya potassium na sodium hupatikana katika bamia bila ya kusahau vitamin A ambavyo hupatikana pia kwenye bamia. ↘️ Ndani ya bamia kuna aina ya protin inayoitwa lectin, ambayo pia huweza kupatikana kwenye maharage na nafaka nyingine. lectin inayozalishwa na bamia kwa ajili ya kutibu seli za saratani ya matiti (breast cancer), seli za ...

Jinsi p.i.d na fangasi zinavobadili shape ya uke

*Fahamu Kwa Nini wahanga wengi wa p.i.d na fangasi na p.i.d uke wao hupoteza mvuto na mwonekano* Na Dr jimmy 0620165254 *Soma mpaka mwisho* Tatizo moja kwenye uzazi huanzisha tatizo jingine, Hivi umewahi kujiuliza kwa nini wahanga wa P.I.D mara nyingi hata uchi wao hupoteza mvuto / muonekano...  Shambulizi la Bakteria / Fangasi kwenye via vya uzazi, huenda kuathiri Ovary, Ovary ni tezi ambayo hufanya kazi ya kuchochea uzalishwaji wa homoni ya oestrojeni na moja ya kazi ya oestrogen ni kutengeneza shepu ya maumbile ya kike kama nyonga, kalio, na mabadiliko ya umbo la mwanamke tangu kubalehe ikiwemo mashavu ya uke.... Shambulizi la Bakteria huenda kuharibu ovary na ovary ikianza kupata shida basi homoni huanza kuvurugika ndio maana hata mashavu ya k huonekana kulegea, kuharibika n.k Endelea kujiweka mbali na maambukizi, kunywa maji, kuwa msafi na kula vizuri, ujiweke mbali na magonjwa ya uzazi Iwapo una changamoto katika uzazi na ungependa kujua namna ya kuitatua, ungana nasi kwenye ...

Namna ya kutibu asidi

Picha
Je, na wewe BADO unateseka na Acid? je, umekata tamaa!! Hapana angalia jinsi ndugu yetu baada ya kutumia dawa iitwayo stomach acid Sasa ndani ya siku 6 Sasa anaendelea vizuri kabisa mateso yote na maumivu Sasa basi nawe nafasi BADO unayo haujachelewa tumia stomach acid nna imani utanishukuru,, Health consultation tunajali afya yako🙏

Pona bawasiri Kwa kutumia dawa hii

Picha
*Tunazidi kusonga mbele zaidi Kwa watu wanazidi kuleta mirejesho mizuri yenye kuleta hamasa ya kuendlea kufanya kazi na utafiti Zaid ndugu yangu ni pilecare kiboko ya bawasiri na hii ni baada ya kutumia Kwa siku kadhaa tu nikukumbushe kukata tamaa ni mwiko jitahidi upate suluhisho la uhakika na kudumu* Jibu lako ni PILECARE kiboko ya bawasiri

Namna ya kuondokana na vidonda vya tumbo

Picha
*Amepona vidonda vya tumbo vilivyopelekea kujaa gesi tumboni,kiungulia kikali,maumivu ya kifua,miguu ganzi na mikononi,maumivu ya tumbo na kuwaka moto* Leo anaweza kula Kila kitu baada ya kutumia dawa iitwayo stomach ulcers ndugu hii ni zaidi ya dawa usikae kimya dawa hii inagharimu 300,000 tu Kwa msaada zaidi waslina nasi 0620165254

Tumia dawa hii kutibu acid

Picha
Je, na wewe BADO unateseka na Acid? je, umekata tamaa!! Hapana angalia jinsi ndugu yetu baada ya kutumia dawa iitwayo stomach acid Sasa ndani ya siku 6 Sasa anaendelea vizuri kabisa mateso yote na maumivu Sasa basi nawe nafasi BADO unayo haujachelewa tumia stomach acid nna imani utanishukuru,, Health consultation tunajali afya yako🙏

Tumia stomach ulcers kutokomeza vidonda vya tumbo

Picha
*Amepona vidonda vya tumbo vilivyopelekea kujaa gesi tumboni,kiungulia kikali,maumivu ya kifua,miguu ganzi na mikononi,maumivu ya tumbo na kuwaka moto* Leo anaweza kula Kila kitu baada ya kutumia dawa iitwayo stomach ulcers ndugu hii ni zaidi ya dawa usikae kimya dawa hii inagharimu 300,000 tu Kwa msaada zaidi waslina nasi 0620165254

Namna ya kupata mimba haraka

Jitahidi kuhimizana mume na mke kupima kujua afya yenu ili hata mnapotafuta msaada wa matibabu mjue ni nani mwenye tatizo na ni tatizo gani. Hii inasaidia kupunguza gharama za mara kwa mara, msongo wa mawazo na migogoro katika ndoa. Kuna baadhi mnatumia google tu, hii siishauri, kuingia google na ku-search JINSI YA KUPATA MIMBA HARAKA 🤣🤣 haiwezi kukusaidia kwa lolote bila kujua chanzo cha tatizo. Hospitalini sio polisi wala mahakamani, msigope kwenda kupima

Fahamu dalili za kansa.

Picha
DALILI ZA KANSA. Hizi ni dalili tu na sio lazima ziwe ni ugonjwa wa kansa  lakini kikubwa ni kwenda hospitalini kwa vile uwezekano upo. Hizi ni pamoja na : 1:KIKOHOZI/ MABADILIKO YA SAUTI Kukohoa muda mrefu na pia hali hii ikaifanya sauti kuwa nzito, nyepesi au kukwaruza na hata kukwama si ya kupuuzwa. Japo kikohozi wengi hakiwahofishi, kukohoa kwa muda mrefu na kupata makohozi yenye damu ni dhahiri jambo la kuhofiwa. "Vikohozi vingi si kansa," anasema  Therese Bartholomew Bevers, dakati na profesa wa kuzuia saratani katika taasisi ya Underson Cancer Center. "Lakini kwa hakika kukohoa makohozi yenye damu mara kwa mara kunahitaji kuchunguzwa na kuangaliwa kama kuna saratani ya mapafu inayojitokeza. Ni lazima bingwa achunguze mapafu kwa xray au kwa CT scan kufahamu hatari ama uwezekano wa saratani unaohofiwa. 2. MATATIZO YA KUPATA CHOO Iwapo tumbo lako litakuwa na mabadiliko kwenye utaratibu wa kupata haja usizubae tafuta tiba. Inaweza kuwa kuhara mara kwa mara, c...

Raha jipe mwenyewe

Picha
Kujipa smoothies kama hizi usisubiri mpaka kuandikiwa na daktari... Be your own doctor everyday kupitia milo yako, vinywaji na lifestyle. Uhai hauna spea...  Nisikuseme sana, karibu juisi 🥤