Asidi, vidonda vya tumbo tumia VYAKULA hivi.
*MWONGOZO WA VYAKULA KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO NA ASIDI* 0620165254 *Kumbuka alama hizi* ❌ *_Hatari kwako_* ✅ *_Inafaa kwa afya yako_* Wewe unae teseka na vidonda vya tumbo Kuna vyakula unavyo takiwa kuacha kutumia kabisa na kuna vyakula unavyotakiwa kula Sio lazima kuzingatia kama wewe nia yako sio kupona *VYAKULA HATARI KWAKO* :- Dr jimmy 0620165254 ❌❌❌❌❌❌❌ ❌Vyakula vya kusisimua mwili, ❌Vyakula na VINYWAJI vyenye caffeine na Asidi nyingi mfano ❌Majani ya dukani ❌ kahawa, ❌vyakula vya kwenye makopo soda na juice za viwandani hivyo huchangia kwa kiasi kikubwa vidonda vya tumbo lakini pia acha ❌ kutumia chumvi nyingi hasa epuka kutumia chumvi mbichi kabisa ❌vilevi kwa aina zake ❌ karanga, ❌dagaa, ❌ Maziwa ❌ maharage, ❌Ugali wa sembe ❌kuku wa kisasa au mayai ya kisasa, ❌pilau, ❌nyama nyekundu ❌ Sukari ❌ chainise ❌ kisamvu ❌ Nanasi ❌ Chungwa ❌Ukwaju ❌ Chips ❌Limao ✅✅✅✅✅✅✅✅ ...