Masikio kupiga kelele
![Picha](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiIj2ZCvSTSQ2r9UACfw0lPHbkYlVRCiaK6_hqTZyMhl5Kx6_Kjm9jYvRLlw5EP0OyW2insCgU-Kuv3IGHYVZ9EzmtWxdllSHlIcMSeIjwEoENNcRPsVFRYGRT3ODv75N0TXUg9piTLa49Y/s1600/IMG_ORG_1698744552482.jpeg)
Jinsi ya Kutokomeza Masikio Kupiga Kelele Zipo sababu nyingi ambazo zinapelekea Masikio kupiga kelele, Lakini moja kati ya sababu hizo ni Presha ya kupanda ambapo inasababisha Central nervous system utopata Kiwango cha kutosha cha damu ili iweze kufanya kazi yake vizuri. Hali ambayo inapelekea kupatikana madhara ya masikio kupiga kelele. Na wapo ambao makelele hayo hutokea Sikio la kushoto tu. Na wapo ambao hutokea makelele hayo sikio la kulia tu. Wapo Ambao hutokea masikio yote. Na Makelele hayo hutofautiana kati ya mtu mmoja na Mwingine. Wapo ambao. 👉🏽Husikia Makelele kwenye Masikio 👉🏽 Husikia Mvumo 👉🏽 Husikia Kuunguruma 👉🏽 Husikia kama kitu kinagonga ndani ya sikio 👉🏽 Husikia kuzomewa kwenye masikio 👉🏽 Husikia Mlio wa Filimbi kwenye Masikio Ili kuondokana na changamoto yako unatakiwa kuzingatia yafuatayo 1. Acha kabisa kutumia vyakula ambavyo Mgonjwa wa Presha hatakiwi kutumia kuanzia sasa ivi. 2. Chukua Tangawizi ukubwa wa kidole...